Rwanda kuizidi Zanzibar kwa Utalii??

Maccm.
 
Kuona Gorilla tu Ni $1500 per day per person.
 
Yani mtanzania anaelalamikia tozo ya 1000 ndio aende kuangalia Simba kwa magharama.
 
Kwanza fahamu zanzibar ni nchi ya kiislamu hivyo kidogo ni closed society,ni kikwazo pia,lakini vikwazo vingine ninuwezo wetunwa kujitangaza

Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
 
Mkuu figure za serekali ya CCM kuhusu watalii ni zakupika, huwa wanazidisha nambers waonekanwe wanaingiza watalii wengi, yawezekana kabisa kuwa Rwanda washatuacha mbali

Alokwambia izo takwimu n za ccm nan
 
Sema Zanzibar waongeze matangazo kama kwenye premier league ili kupaisha jina ambalo lenyewe tu kwa sasa ni utambulisho mkubwa.

Zanzibar ipi hii ya CCM? ni bora tusahau kitu kama hicho
 
..madege tuliyonunua kwa matrillioni ya fedha ni kwa ajili ya kusomba watalii ughaibuni kuwaleta Tanzania.

..tumetumia trillion 2 kununua madege, huku wizara ya kilimo imepangiwa bajeti billion 294.
Kipindi hatuna ndege, makelele yalikuwa kibao, oooo nairobi airport inatushinda umekuwa hub ya kimataifa kwasababu wana ndege zao zinapeleka direct flights nairobi
Haya tumeleta zenu, nyienyie mnawashwa, ooo midege kibao, bajeti ya kilimo inapwaya, tunaongeza kodi ili ipatukane pesa oooh makodi yamezidi nchi hiii
Yani ni upumbavu upumbavu kwenda mbele, watanzania sisi mxiiiew
 
mkuu wangu hakika umenena jambo la muhimu Sana Aisee inasikitisha Sana hii Nchi kutawaliwa na viongozi wapuuzi na wasiokua maono Kama haya CCM wapo kunufaisha matumbo Yao tu na familia zao!
 
Rwanda sijui watalii wanatembelea kuona nini. Ooh nimekumbuka ile museaum alijitengenezea kagame eti mauaji ya kimbari 😂😂
 

..mimi nilipinga ununuzi wa ndege tangu wakati zinapigiwa kelele JK alipokuwa madarakani.

..serikali imefuja hela kwa matumizi mabaya kama haya ya ununuzi wa ndege ndio maana sasa ina ukata na imelezimika kutukamua kwa ongezeko la tozo na kodi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…