Rwanda kuomba walimu Zimbabwe, hii ipoje? Hatuoni sisi nduguze?

Rwanda kuomba walimu Zimbabwe, hii ipoje? Hatuoni sisi nduguze?

haha

JF-Expert Member
Joined
Apr 21, 2013
Posts
1,400
Reaction score
1,638
Rais wa Rwanda, Mh Paul Kagame ameomba walimu wengi kutoka Zimbabwe kwenda kuziba nafasi nyingi za walimu wa msingi na sekondari nchini mwake!

Hatua hii kiukweli kama wewe ni mwana East Africa lazima uishangae!! Kulikoni walimu wa nchi wanachama waachwe?

Kuna Uganda, Kenya and the Giant Tanzania? Ikumbukwe Tanzania haijaajiri walimu wa muda mrefu hivyo maelf ya walimu wapo mtaani wanazurura!

Mh PK hatuamini? Au uwezo wetu sisi kama watz? Kutoi master lugha ya malikia ndio umetuponza?

Lakin mbona Uganda wapo vizuri katika lugha ya malikia?

Hapa PK katuangusha

======

President Paul Kagame on Wednesday told a delegation from Zimbabwe led by their Minister of Foreign Affairs and International Trade, Frederick Shava, that Rwanda urgently needs quality teachers from their country.

The head of state was interacting with over 200 participants during the inaugural Rwanda-Zimbabwe Trade and Investment Conference that is ongoing in Kigali since Tuesday.

“I think Zimbabwe can offer us good teachers,” Kagame said.

His remarks followed a bilateral deal signed between W2 Industries, a Zimbabwean firm that is expanding its business in Rwanda in areas of development of school infrastructure and setting up school laboratories.

Although the development was a significant one, Kagame said that priority should be given to human resource.

“I want to emphasize one thing. I want people first before equipment. I think Zimbabwe can offer us good teachers.”

“Please work on that with the sense of urgency. Whatever number you find of quality teachers we can absorb. Because we need them urgently,” he reiterated.

Meanwhile Kagame commended organisers of the conference describing it as a ‘special’ gathering.

For a number of years now, he said, the two countries have been working to deepen the ties in different sectors.

“Your presence here is the latest step in that journey and significant one too. I take particular note of the ministers of Zimbabwe who have accompanied this delegation.”

President Kagame assured the visiting delegation that the Rwandan Private Sector is ready to reciprocate and work together to identify mutually beneficial business opportunities.

He also highlighted that the history of both countries has been marked by moments of adversity and tragedy but also success and resilience.

“In that we are part of a wider African experience. Progress doesn’t come easily or without sacrifice. It requires hard work, dedication and self-reliance.”

The latter doesn’t mean being alone, he explained.

“No country on our continent can prosper without cooperating within our region. We have to come together, pull our resources and knowledge and reinforce one another.”

President Kagame gave the Africa Continental Free Trade Area (AfCFTA) as an example that provides the continent with a clear framework to align shared interests and strength.

“But the best rationale for our collaboration as we have seen during this conference is that we have a great deal to offer each other. Let us make the most of it and act on the outcomes of this conference with a sense of urgency.”

Huge potential for both countries

Speaking during the summit, Sekai Nzenza, Zimbabwe’s Minister of Industry and Commerce said that the conference has magnified the potential that both countries can reap from each other.

She said that Zimbabwe has a huge potential to supply the Rwandan market with Agricultural and horticulture products, pharmaceutical products, leather, textile, construction material among other projects.

On the other hand, Nzenza told both delegations that Rwanda has potential to export ICT and other light manufacturing products, adding that Zimbabwe had a lot to learn on the ease of doing business.

“I am excited that our private sector business enterprises who are present here have continued to provide their unwavering support,” she added, “It is vital that the two countries participate at each other’s trade and investment shows going forward.”

Rwanda-Zimbabwe trade and investment conference kicked off on Tuesday, September 28 and it is expected to go through 30th.

The idea was mooted in 2019 and it was agreed that the conferences will be held annually in rotational manner.

The conference was co-organised by Rwanda Development Board and the Zimbabwe Investment and Development Agency (ZIDA) among other partners.

On its first day, a total of five cooperation agreements were signed as the two countries seek to make the most of the conference.
 
Kwan EA yenyewe ipo kweli? Kama ipo bc imebaki kama jina ila kiutendaji kila nchi na demands zake🤗
Nipeni connection nikaajiriwe Rwanda mm niitumikie nchi hiyo kwa ueledi mzito!😁
 
Rais wa Rwanda, Mh Paul Kagame ameomba walimu wengi kutoka Zimbabwe kwenda kuziba nafasi nyingi za walimu wa msingi na sekondari nchini mwake!!!
Hatua hii kiukweli kama wewe ni mwana East Africa lazima uishangae!! Kulikoni walimu wa nchi wanachama waachwe !? Kuna Uganda ,Kenya and the Giant Tanzania?!! Ikumbukwe Tanzania haijaajiri walimu wa muda mrefu hivyo maelf ya walimu wapo mtaani wanazurura!
Mh PK hatuamini!?? Au uwezo wetu sisi kama watz?! Kutoi master lugha ya malikia ndio umetuponza!??
Lakin mbona Uganda wapo vizuri katika lugha ya malikia!??
Hapa PK katuangusha
Wabongo hawaaminiki,anahofia kupandikiziwa mashushushu,Kwa Uganda,uhusiano Kati ya PK na Mseveni Sio mzuri.
Kumbuka hata sisi huwa hatuwaamini wakenya tulizuia Raia wa Kenya asiwe CEO wa Voda Tanzania,lakini sasa hv amekuja Msouth Afrika hatupigi kelele kabisa,Hii sio personal it's all about national and geopolitical interest.
 
PK anajistukia tuu anadhani Watanzania wataenda kuzaliana pale wakaleta madhara kwa utawala wa Wanyarwanda hataki watu EA Rwanda akiamini utawala wao kwa vizazi vijavyo utakua mashakani yupo radhi waende wataalamu kutoka Vietnam na si Nchi za EA..
 
Zimbabwe wapo juu sana kielimu miongoni mwa Nchi za kiafrica zenye idadi kubwa ya ma-professor ni vijana
Usione vikwanzo vilivyopo ukataka kulinganisha na elimu ya Tanzania na East Africa.
Elimu yetu kuipata Master ni shida. Kuna wazazi wanaenda vyuoni kuwaulizia Lecture kukwama kwa mtoto wake kupata Master haaaa kazi kweli
 
Rais wa Rwanda, Mh Paul Kagame ameomba walimu wengi kutoka Zimbabwe kwenda kuziba nafasi nyingi za walimu wa msingi na sekondari nchini mwake!!!
Hatua hii kiukweli kama wewe ni mwana East Africa lazima uishangae!! Kulikoni walimu wa nchi wanachama waachwe !? Kuna Uganda ,Kenya and the Giant Tanzania?!! Ikumbukwe Tanzania haijaajiri walimu wa muda mrefu hivyo maelf ya walimu wapo mtaani wanazurura!
Mh PK hatuamini!?? Au uwezo wetu sisi kama watz?! Kutoi master lugha ya malikia ndio umetuponza!??
Lakin mbona Uganda wapo vizuri katika lugha ya malikia!??
Hapa PK katuangusha
Bongo nani haijui? Sound Sana afu hakuna kitu,lugha ndio kabisaa
 
Rais wa Rwanda, Mh Paul Kagame ameomba walimu wengi kutoka Zimbabwe kwenda kuziba nafasi nyingi za walimu wa msingi na sekondari nchini mwake!!!
Hatua hii kiukweli kama wewe ni mwana East Africa lazima uishangae!! Kulikoni walimu wa nchi wanachama waachwe !? Kuna Uganda ,Kenya and the Giant Tanzania?!! Ikumbukwe Tanzania haijaajiri walimu wa muda mrefu hivyo maelf ya walimu wapo mtaani wanazurura!
Mh PK hatuamini!?? Au uwezo wetu sisi kama watz?! Kutoi master lugha ya malikia ndio umetuponza!??
Lakin mbona Uganda wapo vizuri katika lugha ya malikia!??
Hapa PK katuangusha
Mkiambiwa Elimu ya Tanzania ni mbovu mnabisha..siasa mbele mambo ya muhimu mnaacha..viongozi wetu wao wanapeleka watoto wao nje alafu sisi wanetu wanasoma bongo...wakifundishwa na walimu wale wa UPE..tutegemee zao gani zaidi ya walimu vyeti na si ubora! Mbaya zaidi haohao wanetu wanaenda fundisha wajukuu zetu...tanzania ni siasa tu..ndio maana hata maprof wanaacha kufundisha..wanafanya siasa! Zimbabwe bwana wako juu kwa lugha ya malkia na elimu...hata mimi ningetafuta huko..wacha tu tuzidi kujidhalilisha...Mfyuuu wizara na wanaohusika...kazi kukalia.mitumbo yao
 
competency brother, watu wanahitaji watu walio competent na sio blah blah hapa....

Ushauri: vijana mlio makazini jitahidini kufanya kazi kwa bidii na kujishape kulingana na kasi ya dunia otherwise tutakuwa tunalialia kila siku...
 
Rais wa Rwanda, Mh Paul Kagame ameomba walimu wengi kutoka Zimbabwe kwenda kuziba nafasi nyingi za walimu wa msingi na sekondari nchini mwake!!!
Hatua hii kiukweli kama wewe ni mwana East Africa lazima uishangae!! Kulikoni walimu wa nchi wanachama waachwe !? Kuna Uganda ,Kenya and the Giant Tanzania?!! Ikumbukwe Tanzania haijaajiri walimu wa muda mrefu hivyo maelf ya walimu wapo mtaani wanazurura!
Mh PK hatuamini!?? Au uwezo wetu sisi kama watz?! Kutoi master lugha ya malikia ndio umetuponza!??
Lakin mbona Uganda wapo vizuri katika lugha ya malikia!??
Hapa PK katuangusha
Zimbabwe kuna fursa zaidi kuliko Tanzania,Kenya,Uganda na Burundi... Ushirikiano wa Rwanda na Magharibi ndio njia yao ya kurudi Zimbabwe
 
Back
Top Bottom