beth
JF-Expert Member
- Aug 19, 2012
- 3,880
- 6,368
Mahakama Nchini humo imemhukumu Mfanyabiashara ambaye ni Raia wa China kifungo cha miaka 20 gerezani baada ya kurekodiwa akimpiga Mwananchi mwaka 2021
Sun Shujun alikuwa anakabiliwa ya Mashtaka ya kupiga Wafanyakazi wake waliokuwa wanatuhimiwa kwa wizi, ambapo katika video iliyorekodiwa alionekana akimchapa mtu aliyefungwa kwenye nguzo
Hii si mara ya kwanza kwa Raia wa China wanaofanya kazi Afrika kushutumiwa kwa ukatili. Mwaka 2020, Mchina aliyekuwa Mmiliki wa Mgodi wa Makaa ya Mawe Nchini Zimbabwe aliwapiga risasi na kuwajeruhi Wafanyakazi wawili baada ya kulalamika kuhusu mishahara
======
A Chinese citizen was convicted Wednesday in Rwanda on charges of torture, according to Rwandan media reports.
Last year, a video circulated online showing Sun Shujun, the Chinese national, flogging two Rwandan workers, who had been tied to a tree.
Shujun said the two men had stolen minerals from his company, Ali Group Holdings Ltd,, Rwanda's KT Press reported.
The Chinese Embassy in Kigali condemned the "unlawful acts" in a statement at the time, according to local media.
This is not the first time Chinese nationals working in Africa have been accused of abusing their local workers. In Zimbabwe in 2020, a Chinese coal mine owner shot and wounded two local workers after they complained about wages they were owed.
Source: Rwanda: Chinese National Gets 20-Year Sentence for Torture in Rwanda