Rwanda na M23 sasa ni dhahiri

Rwanda na M23 sasa ni dhahiri

carla del ponte alikuwa ni chief prosecutor wa ICTR, walifanya investigation USHAHIDI ukaja kwamba PK ndiye aliye Angusha ndege na kuwa marais wawili, akiwepo wa rwanda na kutrigger genocide rwanda.
carla del ponte 👇
carla-del-ponte_999_750.jpg
carla-del-ponte-pleading-in-the-ictr-appeal-court-in-the-case-of-jean-bosco-barayagwiza.jpg
carla-del-ponte-at-the-ictr-with-bodyguards-in-evidence-1.jpg

ALIKUTANA NA PK RWANDA NA KUMWAMBIA KUWA TUNAISHAHIDI WEWE NDIYE MUHUSIKA MKUU, NA WALIKUWA NA USHAHIDI MWINGI TU KUWA PK NA RPA WALIUWA WAHUTU NA WATUTSI IKIWEMO WATUTSI WA BISESERO WAPATAO 40,000. NA WATUTSI WA BAGOGWE. NI PK ALIHISIKA LAKINI PK AKAMFUKUZWA RWANDA NA KUMWAMBIA UMEKOSA SIFA YA KUWA CHIEF PROSECUTOR WA ICTR, BAADA YA HAPO carla del ponte AKAKUTANA NA KOFFI ANANI AKAMUELEZA KILAKITU NA KUMWAMBIA AACHANA NA MAMBO HAYO. LAKINI BAADA YA MUDA carla del ponte WALIMFUKUZA ICTR WAKAMUWEKA CHIEF PROSECUTOR MWINGINE AMBAYE ALIAACHANA NA ISSUE YA CRIMES YA RPF.
 
Halafu sijui huyu jamaa aliponyokaje kwenye kesi ya yale mauaji ya kimbari! Wakati ukiisoma historia ya hiyo vita unamuona Kagame kama naye alihusika pakubwa tuu.

Labda kwa sababu yeye ni mtutsi na ndio walikuwa wahanga zaidi 🤷‍♂️
Watusi hawakuwa wahanga zaidi,Bali wahutu
 
Watusi hawakuwa wahanga zaidi,Bali wahutu
Watutsi walikuwa wachache sana hawakufika hata 600,000 kipindi cha genocide.
Lakini watutsi genocide survivors walikuwa ni 300,000.
Mauaji ya kimbali rwanda ilichukua maisha ya watu zaidi ya 1,000,000.
Chakata akili hapo.
 
Watutsi walikuwa wachache sana hawakufika hata 600,000 kipindi cha genocide.
Lakini watutsi genocide survivors walikuwa ni 300,000.
Mauaji ya kimbali rwanda ilichukua maisha ya watu zaidi ya 1,000,000.
Chakata akili hapo.
Ndiyo hapo,sijajua Kuna watutsi wangapi Sasa hv rwanda,huenda waluouliwa hawafiki laki 3
 
Back
Top Bottom