Hukupaswa kuandika kizungu ili unihakikishie utashi wako ni sifuri..
Tizama komenti za watu wenye utashi uliojipachika walivyojibu kwa kukumbushana na kuwekana sawa!!
Kagame na washauri wake walijitoa sana juu hili paun m 30 s mchezoMkuu hiyo hela ilisharudi mbona rekodi zinasema hivoView attachment 1232439View attachment 1232440View attachment 1232441View attachment 1232442
Utalii wa Waingereza kwenda Rwanda umeongezeka kwa asilimia 5, ikiwa ni matokeo ya kujitangaza kupitia jezi za Arsenal, ambapo nembo ya 'VISIT RWANDA' imeandikwa begani katika jezi za Arsenal. Kupitia hilo Rwanda imeingiza £36m zaidi ya Tsh Bil 100 kwa mwaka.
Serikali ya Rwanda hutoa £10m kwa mwaka katika klabu ya Arsenal . ,hii inafanya Rwanda kuvuna faida ya £26m kwa mwaka.
Arsenal did not disclose how much the deal is worth, but sources close to the deal say the sponsorship cost £10 million ($13.3m) a year, or $40 million in the three years.
WEKA PESA UPATE PESA
TANZANIA TUNASUBIRI NINI?
Mi nafkr sisi tuna vivutio vingi tutumie nguvu kwa asilimia 60 si 90 kama RwandaSijui TZ tunafeli wapi pamoja na vivutio vingi ambavyo tunavyo nchini mwetu [emoji1781]
Hongera sana KAGAME Kwa hili
Tanzania ilishafanya hivyo mwaka 2008. Ilidhamini ligi kuu yani EPL.. Kila kiwanja lazima ungeliona Visit Tanzania...
Kila timu iliokuwa inashiriki ligi mwaka huo, ilikuwa inavaa jezi yenye neno; Visit Tanzania, wakati wote wawapo mazoezini ndio zilikuwa jezi zao za mazoezi zenye huo ujumbe.
Kikubwa tulipaswa kufahamishwa matokeo tuliopata kwa uwekezaji ule....
Wao wamedhamini timu, sisi tulidhamini Ligi nzima.
Kagame nae ameshindwa direct kutaja amount ya Faida ingawa kasema.kijumla kwamba lengo namba moja ongezeko la watalii kwa Mara 3 zaidi.Mapato sio faida, unaweza ukapata mapato 36M ila yakawa na hasara ama faida ikawa 3m etc kama mapato ni 36m then utoe 10m sidhani kama kuna faida hapo.