Rwanda ni Mteja wa Uhakika wa Bandari yetu anayenyemelewa na Kenya kwahiyo Kwenye hii Vita tusiwe na Kimbelembele

11
MWALIMU NYERERE ANAMALIZA KWA USHAIRI KWENYE KITABU CHAKE.

UONGOZI WETU NA HATMA YA TANZANIA.

Ole wake Tanzania Tusipoisaidia
Niwezalo nimelifanya kushauri na kuonya nimeonya.

tahadhali nimetoa ushauri na kuonya nimeshatoka kitini zaidi nifanye nini.

Namlilia Jaalia atumulikie njia Tanzania ailinde WAOVU wasiishinde.

Amina Tena Amina Amina Tena amina


UONGOZI WETU NA HATMA YA TANZANIA.
MWALIMU JK NYERERE
 
drc 111 mln idadi ya watu
rwanda 13 mln idadi ya watu
utachagua kumtumikia nani ? tucheze kwa akili tu sababu mtu anaechezesha kete zote hapa ni mzungu wakitaka mali za congo wanatugombanisha tu iwe geresha
 
Acha kutiatia huruma lazima mtu afundishwe adabu
 
Congo ndio mteja mkubwa namba Moja wa bandari yetu!

Mpaka Marekani anajenga reli kwenda Congo haujiulizi!

Rwanda hana export volume yeyote!
Uchumi wa Rwanda ni service oriented!

Msidanganyane hapo!
 
Hana huo ubavu wa kwenda Kenya,JWTZ iko huko miaka na miaka na hajawahi kujichetua.

Rwanda na Uganda haziivi kitambo na hufugiana border kwa miaka hadi mitatu.
 
drc 111 mln idadi ya watu
rwanda 13 mln idadi ya watu
utachagua kumtumikia nani ? tucheze kwa akili tu sababu mtu anaechezesha kete zote hapa ni mzungu wakitaka mali za congo wanatugombanisha tu iwe geresha
SA ana maslahi mapana DRC
 
Hana huo ubavu wa kwenda Kenya,JWTZ iko huko miaka na miaka na hajawahi kujichetua.

Rwanda na Uganda haziivi kitambo na hufugiana border kwa miaka hadi mitatu.
Umekariri ๐Ÿผ
 
Kwanini Tz hupenda kuwa na chuki na Kagame? Kosa la Kagame liko wapi? Unadhani kutatua huu mgogoro ni kupeleka wana jeshi kuondoa M23? Kama ni hivyo , tumepeleka majeshi mara ngapi bila kuondoa tatizo?

M23 kwa ufupi ni wa Congolese wenye asili ya kitutsi , wanyamrenga ambao wana pigania haki yao, ni Congolese regime kuwa tambua na kukaa meza moja wajadiliane, mnaweza kuwa na kabila ambalo linapatikana katika nchi mbili au tatu tofauti.

Mkitaka kuwa fukuza waende wapi? Rwanda sio kwao pia, hivyo Kagame kujilinda yuko sahihi pia .

Ni Congo peke ndio wa kuamua kumaliza mgogoro uliopo kwa kukaa chini na kumaliza tofauti zao na kuunganisha raia na makabila yao kuwa wamoja na nchi moja .

Kuilaumu Rwanda kwa kila jambo ni kufunika kombe mwana haramu apite.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ