johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Ni angalizo tu Vita inayopiganwa Kati ya DRC na M23 ni ya Kiuchumi zaidi
Tusifanye kihelehele tuusome mchezo kwanza 🐼
Tusifanye kihelehele tuusome mchezo kwanza 🐼
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jeshi la wananchi halipigsni na rwanda linaendelea kusaidia congo against M23. Rwanda akihama atakuwa ame confirm kwamba anahusikaNi angalizo tu Vita inayopiganwa Kati ya DRC na M23 ni ya Kiuchumi zaidi
Tusifanye kihelehele tuusome mchezo kwanza 🐼
Ni angalizo tu Vita inayopiganwa Kati ya DRC na M23 ni ya Kiuchumi zaidi
Tusifanye kihelehele tuusome mchezo kwanza 🐼
M23 ina askari 8000 tuJeshi la wananchi halipigsni na rwanda linaendelea kusaidia congo against M23. Rwanda akihama atakuwa ame confirm kwamba anahusika
Yetu ileUnamaanisha ile bandari ya waarabu wa dp world
SA ana maslahi mapana DRCdrc 111 mln idadi ya watu
rwanda 13 mln idadi ya watu
utachagua kumtumikia nani ? tucheze kwa akili tu sababu mtu anaechezesha kete zote hapa ni mzungu wakitaka mali za congo wanatugombanisha tu iwe geresha
Umekariri 🐼Hana huo ubavu wa kwenda Kenya,JWTZ iko huko miaka na miaka na hajawahi kujichetua.
Rwanda na Uganda haziivi kitambo na hufugiana border kwa miaka hadi mitatu.
Rwanda na DRC wapo muhimu kwetu ?Ni angalizo tu Vita inayopiganwa Kati ya DRC na M23 ni ya Kiuchumi zaidi
Tusifanye kihelehele tuusome mchezo kwanza 🐼
Aende basi tuone!Umekariri 🐼