Tetesi: Rwanda nyuma ya kufukuzwa Shyrose!

Kwani term limits ni miaka mingapi? Halafu kila mgombea si lazima adhaminiwe na chama chake?
Hilo ndio swali. lakini huyu alikuwa haanzi mwanzo alikuwa anatetea kiti chake kama makongoro na kimbisa. Hivi inawezekana Magufuli kukatwa jina ndani ya CCM 2020? Term limit ya EALA ni miaka 10.
 
Rose eti kakatwa kwa sababu mwenyekiti ana asili ya Rwanda ndio sababu inataka nchi ipite mipito ya Rwanda. Hili lisikubaliwe kwa njia yoyote ile. Big up Rose
 
Atoke ccm kama anaona hailipi.
 
Mkuu upo? Umerudi tu na kuanza na Lowasa? Kwani Mizengo K. Pinda hawezi kumpa jibu?
 
Hii ni nafasi ya kugombea sio ya kuteuliwa kama ya kina nape!
 
Kiongozi wa kisiasa aliyekomaa ukubaliana na maanuzi ya vikao
Hapo ndipo ninapomuheshimu Jakaya Kikwete
Kwa yaliyotokea kwake 1995
Ingekuwa viongozi wengine wenye tamaa ya madaraka kama kina mamvi
Leo hii angekuwa amefutika katika siasa za Tanzania
Lakini pamoja na yote alitulia
Akawa mtiifu kwa chama chake
Na baadaye 2005 akaja kuwa mgombea
Hilo ni funzo kubwa sana kwa wanasiasa
Katika siasa kuna kupanda na kushuka
Kuna kubebwa na kuonewa
Kuna kung'aa na kufifia
Cha muhimu ni kuwa mtiifu kwa maamuzi ya vikao vya chama
 
Hivi huyu yeye nani!!?
kwamba hakuna wengine!!
hii mbaya kabisa
kama waliomba zaidi ya 100 kuondolewa yeye tu iwe kelele!!
huo ubunge ni wamaisha!!
Unaichukia Rwanda hasa Serikali ya Kagame
tunajua
lakini usituvuruge kwa kuunganisha chuki zako
na suala hili.
Kama kutetea Maslahi ya Tanzania hawezi kuyatetea pekee
 
Kikao hujadili na sio mwenyekiti kubwata "huyu sitaki hata kumsikia..." halafu ishu inafungwa. Kikwete alijadiliwa na maamuzi yalikuwa kweli ni ya kikao.
 
Hii ni nafasi ya kugombea sio ya kuteuliwa kama ya kina nape!
Hahahaha
Bas hujui process
Vyama vina teua wagombea na kupeleka bungeni huko ndio wanapigiwa kura.
Uliza kina Masha na Wnje wamegombea lini!!? Ila ni nominees wa chadema, process inahusisha uteuzi na maamuzi ya vyama na usipo teuliwa na chama una chill tu
Mwisho wa siku anatakiwa endelee na maisha tuu hamna namna
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…