K A B U R U
JF-Expert Member
- Nov 24, 2011
- 891
- 1,199
Tarehe 26/4/2019 ni maadhimisho ya Muungano wa Tanzania. Tukio la kitaifa linalochagizwa siku hiyo ni mkutano wa Mh Rais na Wananchi wa Mbeya katika uwanja wa Rwanda Nzovwe. Katika kudadisi nimeona niwaulize wadau hapa JF, hili jina Rwanda Nzovwe limetoka wapi? Nahisi ni jina la mtu, na mpaka viwanja vikapewa jina lake, basi kutakuwa na kitu cha kumbukumbu ambacho sio vibaya mwenye kukijua akatueleza.