Rwanda overtakes Kenya and Uganda to be the second top in FDI behind Tanzania

Inasikitisha sana, yaani huyo Zitto anayo ujasiri balaa, halafu ametoa mchanganuo ambao haupingiki, hehehe huyo jamaa noma.
Cha kushangaza zaidi ni kuwa wanaopiga kelele humu hawapatikani pale kuyajadili na wenzao mapungufu Zitto anayoweka wazi kuhusu uchumi unaodorora. Pia hili la kuchapisha pesa na kuyoweka data ya ukuaji wa uchumi for the last two quarters ni evident kuwa kuna mengi sirini.
 
Sasa anaesema ni sisi au IMF[emoji23] kwahiyo tunawalipa IMF kutupikia Data? Kenya inaserereka kurudi nyuma Balaa, Madeni, FDI sasahv mnakimbizwa hadi na Malawi
Lengo lao ni kupoteza hiyo mada ya kushindwa na Rwanda, usikubali waanze kuzungumzia habari ya Tanzania, wafungue uzi mwengine, sasa hivi wajibu hii aibu ya kushindwa na Rwanda, nchi ndogo haina rasilimali yoyote ile.
 
Sasa kama Rwanda nchi sawa na county ya Machakosi pekee haina chochote lakini inawazidi kwa kivutia investors, hii ni aibu kubwa sana, Burundi soon itawapita.
 
Msee umetoka jasho sana.. haya sasa tupe sababu ya FDI Kenya kushuka kiasi hiko. Maana kila siku tuna muona Uhuru akilanda landa kwa wazungu akisaka dili kali kali

Sent from my SM-J110H using JamiiForums mobile app
 
So this year mta bounce back
inategemea...ila nadhani tumeelewana...FDI huwa inayumba yumba kufuatia performance ya uchumi mwaka flani au quarter flani. Pili, inakuwa affected na kinacheendelea ndani ya nchi mwaka flani...mfano wakati wa elections Kenya foreign investors huwa wanasubiri kwanza to avoid risk..na ndio maana FDI inashuka....mwaka 2016 Afrika Kusini na Nigeria kuikuwa na recession, hivyo FDI ilishuka...very simple....and its common sense
 
Kenya is sinking my friend. Mimi huwa nasema kila siku kenya ilikuwa nzuri 10 yrs back ila kwa sasa inapitwa mpaka na rwanda. Next mtapitwa na burundi
 
Kenya is sinking my friend. Mimi huwa nasema kila siku kenya ilikuwa nzuri 10 yrs back ila kwa sasa inapitwa mpaka na rwanda. Next mtapitwa na burundi
sawa hata somalia, burundi wote basπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€furahi sasa
 
elections...very simple economics
Kila nchi ilifanya Election, nani aliyewaambia muendekeze ukabila?, hakuna kutoa sababu ya election kwasababu Ethiopia ilipitia kipindi kigumu sana cha machafuko ya siasa na demostrations, zaidi ya watu 300 waliuliwa na waziri mkuu kujiuzulu, mbona bado FDI hazikupungua?.

Angalia trend ya FDI ya Kenya miaka ya nyuma hata kabla ya uchaguzi, hali ni hiyo hiyo, tatizo lenu ni kujifanya mnajua kila kitu, badala ya kukubaliana na hali halisi ili mtafute ufumbuzi wa matatizo yenu, mnajaribu kutoa sababu za kuhalalisha failures zenu.
 
Mzee huna point yoyote na hujielewi zaidi ya kujifanya mjuaji na kukariri LDC,ukweli usemwe kenya mshindane na burundi au uganda ndiyo level yenu.
 
Pumba kama hii utamkuta mtoto wa nursery tu ndiyo anaongea au mtu mwenye matatizo ya kiakili.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…