Rwanda overtakes Kenya and Uganda to be the second top in FDI behind Tanzania

Unatumia nguvu nyingi sana, hamna kipya ulicho ongea hapo. Kenya ni uzembe wenu na upambavu unao waangusha mmekaa kukumbatia ukabila waliosoma na wasiosoma wote mna akili za kikabila. Mbona Tz kipindi cha uchaguzi investors bado wana pishana kuja? Leo hii tayari mna lumbana kuhusu uchaguzi! na next election kwa jinsi mambo yanavyo enda itakua mvurugano zaidi ya ulio pita.

Sent from my SM-J110H using JamiiForums mobile app
 
Inasikitisha sana,yaani yule mchina alituita sisi wa wakenya monkeys halafu ametoa mchanganuo ambao haupingik kuwa sisi ni monkeys kwasababu ya low IQ na elimu duni tuliyonayo bila kusahau kurukaruka kama nyani nchini mwao kuomba misaada.
 


Data za bwana SCOTT not reliable mkuu,

NOTE: HATA YEYE MWENYEWE KWENYE ANDIKO LAKE ALIFIKIA MAHALI AKAGUNDUA KACHEMSHA, METHODOLOGY ILIYOTUMIKA PIA IPO BIAS SANA

BY SCOTT
Correction 13/10/16:
- The map of Europe has been updated to correct a mistake of categorization in Corsica.
- The map of Asia has been updated to correct a spelling mistake in Iraq.

11 October 2016
Visualization
 
Ahaaa haaa haaa
bye bye FDI.
zinaenda kwa Rwanda na Uganda. nyie baki na Vasco Da Gama ambaye kazi yake ni kwenda kusa dili kali kali ya meta 30k.
Teh teh teh tihiii
mbavu zangu.
Huu ujinga sio wako, nashuku kuna mjinga zaidi yako mara kama tatu hivi ame-hack your account.
 
Huu ujinga sio wako, nashuku kuna mjinga zaidi yako mara kama tatu hivi ame-hack your account.
Mh!! Mjinga Mara 3 zaidi????? Ngoja nifikilie vizuri[emoji362] [emoji362] nimemjua lazima ni MR UHURU
 
Mh!! Mjinga Mara 3 zaidi????? Ngoja nifikilie vizuri[emoji362] [emoji362] nimemjua lazima ni MR UHURU
Bado account iko hacked mkuu kwani akili ilitumbukizwa mfukoni?
 
Huu ujinga sio wako, nashuku kuna mjinga zaidi yako mara kama tatu hivi ame-hack your account.

Ahaaa haaa haaa
sipotezi muda wa kuongea na mtu aliye na AKILI kama YAKO, MAANA wewe umebakiza AKILI ya KUVUKA BARABARA TU.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…