Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nafikiri dawa imekuingia vizuri,choko we.uko sahihi madam
samahani kwa kumuongelea bwana ako
SawasawaHasumbui akili ya mtu..ni nyie ndio mnazichosha akil zenu kwa kujisumbua na utarayibu wa maisha yake!! Anasumbua kwa lip kwamfano? Au anamsumbua nani?? Utaskia Congo...sasa wewe umekua kongo?? Au Congo ndio ukanda huu (kwa mujibu wa maelezo yako)
Ni wa kawaida sanaa less then average...ndio maana anahangaika kuwa silence mazima wanaom challenge..Mtu smart hana ujinga huo...
Wanyarwanda hawawezi kuumia kwakua wanajua hizo hela sio zao bali ni zile kagame alijipatia kongo, tofauti ya kagame na viongozi wetu yeye anaiba nje kuleta nyumbani ila wa hapa kwetu wanaiba ndani kupeleka nje.
Dada naitwa Renegade.uko sahihi madam
samahani kwa kumuongelea bwana ako
unavofikiri wewe PAKA atamweza Mkwere? au mkwere hamjui vizuri?Kagame aliwahi kusema "MTU KAMA KIKWETE NI WAKUNGOJA MUDA SAHIHI KISHA UNAMPIGA", tena alisema haya wakati anahutubia wanafunzi wa chuo cha jeshi. Hii kauli alitoa baada ya Kikwete kutoa ushauri wa kidiplomasia ambapo kagame hakuupenda.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nchi yetu ingekuwa ya kiboya huyu muhuni angeingiza mamluki wake kuitawala na kujichukulia maliasili atakavyo. Anapenda kujipenyezapenyeza kwa majirani zake kisirisiri kwa maslahi ya utawala wake usio na kikomoHivi kwanini Rwanda anasumbua akili katika huu ukanda kiasi hiki?
Utopolo mtup..yaan akaibe hela kongo???hiv vijana wa kizaz hik mnatumia nn kufikir
We jamaa unachuki binafsi na JK.Kagame hakumpiga mkwara Mkwere ila alimwambia ukweli kuwa" KAMA RWANDA INGEKUWA NA BANDARI KAMA DAR ES SALAAM WASINGEKUWA WANAOMBA MISAADA TOKA NJE". Mkwere ukweli huu akaona kama vile ametukanwa akafura!!!! Wakati huo mkwere na wabia wake HOME SHOPPING CENTRE ndio wanapitisha makontena kwa maelfu bila kulipa kodi!!!
Nani anae fadhili huo wizi wa madini zaidi ya makampuni makubwa ya mabeberu wakiwapa silaha na visent hivyo vidogo mabeberu wakichukua lion shareUtopolo mtup..yaan akaibe hela kongo???hiv vijana wa kizaz hik mnatumia nn kufikir
duhRwanda wana akiba ya kutosha ya Tanzanite.
yes ndio ukwel"Beverly Hills" hili eneo nasikia ndio matajiri wanaishi
Hakuna anaye masumbua ila hamjui vitu ndio maana mnabaki kusifia sifiaHivi kwanini Rwanda anasumbua akili katika huu ukanda kiasi hiki?
kile kipigo tuliwapa M23 walimuadisiaAna kiburi sana, kuna kipindi alifikia hatua ya kumpiga mkwara JK.
Sent using Jamii Forums mobile app
huyo jamaa yupo sahihi,kuna mahojiano huko youtube ya mmoja wa watu wa karibu na kagame anaitwa major James kabalebe ,huyu jamaa ndio alipewa kazi na kagame ya kuikamata ZaireUtopolo mtup, yaan akaibe hela kongo? Hiv vijana wa kizaz hik mnatumia nn kufikiri
SAsa unaweza kuona kuwa PAKA ameandaa escape podWanyarwanda hawawezi kuumia kwakua wanajua hizo hela sio zao bali ni zile kagame alijipatia kongo, tofauti ya kagame na viongozi wetu yeye anaiba nje kuleta nyumbani ila wa hapa kwetu wanaiba ndani kupeleka nje.
Lugumi ni mfanyi biashara, Ivan ni civil servantkama lugumi alikua anamiliki jengo upanga lenye thamani zaidi ya bilioni ishirini mnashangaa nini mtoto wa kagame kununua nyumba ya billioni 12?