Rwanda: President’s Son moves in a lavish mansion in Beverly Hills

Wanyarwanda hawawezi kuumia kwakua wanajua hizo hela sio zao bali ni zile kagame alijipatia kongo, tofauti ya kagame na viongozi wetu yeye anaiba nje kuleta nyumbani ila wa hapa kwetu wanaiba ndani kupeleka nje.


Wewe unayo matatizo ya kufikiri, hivi Bevel hills ipo Rwanda??!!
 
unavofikiri wewe PAKA atamweza Mkwere? au mkwere hamjui vizuri?
 
Hivi kwanini Rwanda anasumbua akili katika huu ukanda kiasi hiki?
Nchi yetu ingekuwa ya kiboya huyu muhuni angeingiza mamluki wake kuitawala na kujichukulia maliasili atakavyo. Anapenda kujipenyezapenyeza kwa majirani zake kisirisiri kwa maslahi ya utawala wake usio na kikomo
 
We jamaa unachuki binafsi na JK.

Ila tambua Kagame kajimilikisha Rwanda kama Ccm ilivyojimilikisha Tz.
 
Utopolo mtup..yaan akaibe hela kongo???hiv vijana wa kizaz hik mnatumia nn kufikir
Nani anae fadhili huo wizi wa madini zaidi ya makampuni makubwa ya mabeberu wakiwapa silaha na visent hivyo vidogo mabeberu wakichukua lion share
 
Hii hela itakuwa cha juu alipata katika ununuzi wa pipa za mwendazake
 
Utopolo mtup, yaan akaibe hela kongo? Hiv vijana wa kizaz hik mnatumia nn kufikiri
huyo jamaa yupo sahihi,kuna mahojiano huko youtube ya mmoja wa watu wa karibu na kagame anaitwa major James kabalebe ,huyu jamaa ndio alipewa kazi na kagame ya kuikamata Zaire
anadai alipokea shehena ya dhahabu , almasi na madini mengine kutoka kwa Laurent kabila ampelekee kagame kama dhawadi
pia mzee Laurent kabila nimewahi kumsikia anakiri wanyarwanda waliiba madini mengi sana pale Congo,hivo basi ni kweli Kagame ananufaika na Congo
 
Wanyarwanda hawawezi kuumia kwakua wanajua hizo hela sio zao bali ni zile kagame alijipatia kongo, tofauti ya kagame na viongozi wetu yeye anaiba nje kuleta nyumbani ila wa hapa kwetu wanaiba ndani kupeleka nje.
SAsa unaweza kuona kuwa PAKA ameandaa escape pod
 
kama lugumi alikua anamiliki jengo upanga lenye thamani zaidi ya bilioni ishirini mnashangaa nini mtoto wa kagame kununua nyumba ya billioni 12?
Lugumi ni mfanyi biashara, Ivan ni civil servant
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…