Mjuni Lwambo JF-Expert Member Joined Apr 25, 2012 Posts 11,133 Reaction score 12,361 Nov 8, 2021 #61 kayaman said: Wanyarwanda hawawezi kuumia kwakua wanajua hizo hela sio zao bali ni zile kagame alijipatia kongo, tofauti ya kagame na viongozi wetu yeye anaiba nje kuleta nyumbani ila wa hapa kwetu wanaiba ndani kupeleka nje. Click to expand... Alijipatiaje Kongo?
kayaman said: Wanyarwanda hawawezi kuumia kwakua wanajua hizo hela sio zao bali ni zile kagame alijipatia kongo, tofauti ya kagame na viongozi wetu yeye anaiba nje kuleta nyumbani ila wa hapa kwetu wanaiba ndani kupeleka nje. Click to expand... Alijipatiaje Kongo?
Gama JF-Expert Member Joined Jan 9, 2010 Posts 13,265 Reaction score 4,735 Nov 8, 2021 #62 HHii EINSTEIN112 said: "Beverly Hills" hili eneo nasikia ndio matajiri wanaishi Click to expand... Inonesha kuwa PAKA anajiandalia makazi mbadala
HHii EINSTEIN112 said: "Beverly Hills" hili eneo nasikia ndio matajiri wanaishi Click to expand... Inonesha kuwa PAKA anajiandalia makazi mbadala