Nicas Mtei
JF-Expert Member
- Dec 21, 2010
- 11,556
- 7,113
Niletee zawadi ya toto la kinyaruanda! Umri miaka 17
Wandugu wa Chitchat kesho navuka border kwenda nchi jirani ya Rwanda. Nitakuwepo jijini Kigali kwa siku 3.. Wale wadau mliopo Rwanda hebu 2ambizane. Kama itawezekana basi tuonane. Elizabeth Dominic hebu kam this side unipe mwongozo. Najua wewe u mwenyeji kimtindo maeneo yale.. Halafu nataka kila chitchat member anayetaka zawadi aiandike hapa. Nitamletea freee mpaka alipo. Afta Rwanda nitarud Tanzagiza mkoani Mwanza. So Mr. Judgement hebu andaa mchakato. Pia charminglady nawe najua upo Mwanza. Niambieni ni wapi pazuri kuwepo ili kutafuna bata mpaka kuku wafungue kesi mahakamani..
Nipo kwenye ziara ya kufanya sensa kwa wale wachaga wote ambao wapo nje ya Mkoa wa kilimanjaro ambao hawatarudi nyumbani kuhesabia.. Hakuna haja ya kujiuliza tuko wangapi. Tunajihesabu wenyewe.
Mimi! aaaa sio mzinzi! nitaka awe beki # 3 ,Na mkeo je?
We mzinzi e?
Mimi! aaaa sio mzinzi! nitaka awe beki # 3 ,
Na mkeo je?
We mzinzi e?
Mbona unaguna?Mmhhh....
Mbona unaguna?
Kwani si anaweza leta jinsia yoyote maana sijasema jinsia gani aniletee
te te te ! unaniacha hoi Madame B,Mwanaume mwenzio huwezi kumuita toto wewe.
Aniletee jinsia yoyote tu ile!Mwanaume mwenzio huwezi kumuita toto wewe.
te te te ! unaniacha hoi Madame B,
Usinyamaze bwana Madame B!basi ngoja ninyamaze.
Usinyamaze bwana Madame B!
...hahahahahaha...mie niletee Primus..Mutzing ama skoll...wasalimie Gahinga..Wandugu wa Chitchat kesho navuka border kwenda nchi jirani ya Rwanda. Nitakuwepo jijini Kigali kwa siku 3.. Wale wadau mliopo Rwanda hebu 2ambizane. Kama itawezekana basi tuonane. Elizabeth Dominic hebu kam this side unipe mwongozo. Najua wewe u mwenyeji kimtindo maeneo yale.. Halafu nataka kila chitchat member anayetaka zawadi aiandike hapa. Nitamletea freee mpaka alipo. Afta Rwanda nitarud Tanzagiza mkoani Mwanza. So Mr. Judgement hebu andaa mchakato. Pia charminglady nawe najua upo Mwanza. Niambieni ni wapi pazuri kuwepo ili kutafuna bata mpaka kuku wafungue kesi mahakamani..
Nipo kwenye ziara ya kufanya sensa kwa wale wachaga wote ambao wapo nje ya Mkoa wa kilimanjaro ambao hawatarudi nyumbani kuhesabia.. Hakuna haja ya kujiuliza tuko wangapi. Tunajihesabu wenyewe.
Ndio, nipo tayariHaya uko tayari kuichakachua hii thread?
Ndio, nipo tayari
Nianzaje sasa?Anza...