Rwanda, Rwanda. Nani yupo maeneo hayo?

charmingirl ukienda mwanza anahificha ni wa JF tu ila physically haonekane mie niliweka book siku zaidi ya tano sikumwona zaidi ya kujibu karibu.

hahaaaa.... pole sana mkuu huenda nilikuwa busy those days!!!! muulize Erickb52 ndo atakupa michapo.... vp ubwabwa lini??!! hajambo wifi yetu?????
 
Last edited by a moderator:
charmingirl ukienda mwanza anahificha ni wa JF tu ila physically haonekane mie niliweka book siku zaidi ya tano sikumwona zaidi ya kujibu karibu.

Duh! Kwa hyo anaweza pia akanizngua mimi pia? Akizngua hata simlazimishi
 
hahahaha. Ndo maana nlitaka wenyeji wanipe Mwongozo. Kumbe mifuko ya plastic hairuhusiwi?

Wewe hata kama umeweka viatu bag lote linafunguliwa mifuko inatolewa usithubutu kabisa hata kama umerap pale airport utajiju mzigo wako unafunguliwa hapo hapo unabeba kichwani shauri yako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…