Rwanda, Rwanda. Nani yupo maeneo hayo?

mkuu nasikia uko kwenye Mchumba star seach kila la kheriii, sato wanakusubiri mwanza... mbuzi moshi
kuwa makini huko na huo ulimbo wako wasijenasa wasiokuwamo
 
hii nimeipenda....halafu anajifanya kajitoa fahamu hamjui.....a a....wee mi niletee nguo yoyote....iwe ya ndani au ya nje poa tu....sikukuu imekaribia.......

Ntakuletea ya ndani yenye kimkanda kimoja
 
mkuu nasikia uko kwenye Mchumba star seach kila la kheriii, sato wanakusubiri mwanza... mbuzi moshi
kuwa makini huko na huo ulimbo wako wasijenasa wasiokuwamo

Hahahaha. Nipo kwenye mishe za life.. Mwanza patakuwa patamu kuliko maelezo
 
mkuu sasa hivi upo pande gani? kahama au?. ukifika benaco kula nyama choma kwa mama shilling kabla ya kuanza kushuka rusumo. kama mna private usafiri pale rusumo mtakuta foleni. wewe shuka kwenye gali utangulie adoado ukashangae mapolomoko ya rusumo pale darajani. baada ya hapo ukishaingia rwanda kapumzike pale amarembo upate mbili tatu wakati wenzako wakikamilisha taratibu. vilevile unaweza chimba dawa pale nyakarambi bakunzi pub. then jioni weweza dondoka kigali. mia
 

Nipo Isaka. Ucku huu ndo ntaenda Kahama ili kesho nianze safari ya Rwanda. Niko na private car so ntajtahd kuptia hayo maeneo uliyonambia
 
halafu mkuu nmesahau kukupa ushauli. hotel za kigali centre ni gharama sana. so bora ukawa unapiga mishemishe zako mjini halafu jioni unaenda zako kulala nyarugenge, kunahotel inaitwa ISIMBI bei zao poa sana ni kati ya $ 27-30 per 9t. lakini kama mfukoni upo poa nenda pale solace ministries bei zinaanzia $ 80. pale solace kuna dada ni mhudumu anaitwa jaq Izabiriza waweza mpigia simu kwa habari zaidi.(250)0788775728. Nakutakia safari njema ndugu yangu. mia
 

figganigga? Hahahahahahahahaha
 
Last edited by a moderator:

Nimekusoma vyema sana Mkuu. Tena hlo la gharama za malazi ndo zlikuwa znanitatiza sana. Ahsante sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…