Rwanda secures dry port in Kenya

Uchumi wa makaratasi

Mnakwama mradi wa Bandari ya Lamu tangu 2012 pumzi budget imekata

Mngekuwa na Uchumi mzuri mngetekelza Miradi yenu bila mkwamo
Tumetekeleza miradi mingi ila wewe kwa akili zako unaona mradi mmoja na kuchukulia ndo hali kila mahali.....kuna miradi mingi Tanzania imekwama kama bagamoyo ila najua uko hapa umelipwa kusifia magufooli

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unataka kutuaminishia kuwa mzigo kutoka dar una-teleport Hadi port bell? Hapana tumia kichwa Kama kifuniko ya shingo bruh!
 
Miradi gani imekwama [emoji23]

Hivi kweli unafahamu idadi ya miradi ya nguvu inayoendelea muda huu Tz [emoji23]

Au upumbavu na ufinyu wa akili hazikuruhusu kujua [emoji23]

Embu pitia hii link.

Half of Uhuru's projects have stalled
 
Unataka kutuaminishia kuwa mzigo kutoka dar una-teleport Hadi port bell? Hapana tumia kichwa Kama kifuniko ya shingo bruh!
Hapana, ila mzigo ukiwekwa kwenye mabehewa Dar haupakuliwi mpaka ukifika Port Bell kupitia ziwa Victoria. Wakati ule wa Mombasa ukifika Naivasha unapakuliwa na kuwekwa kwenye malori na kupelekwa kupandishwa kwenye ile reli ya zamani. Kutoka hapo ndiyo inakwenda mpaka Port Bell kupitia ziwani.
 
Hawawezi amini hili waache! Wanaona ile dry port Naivasha wame-hit jackport wakati seamless movement of goods hamna! Imagine ukiachia mbali ku-move goods toka SGR kwenda malori au SGR kwenda MGR hata hiyo pipeline yao mafuta yakifika Kisumu inabidi yaingizwe kwenye wagons tena kwa vile hawana oil tankers! Wakati sie mafuta Tanga/Dar yanapakiwa kwa treni na safari moko mpaka port Bell kwa kutumia reli na ferry wagon MV Umoja!

BTW Tanzania owns virtually all oil tankers in Lake Victoria!

MT Wimbi na MT sangara zibo busy kusafirisha mafuta Lake Victoria

Spanish firm to design top-level Lake Victoria ferry
 
Speed and quantity favors Kenya on that front.
 
Tumetekeleza miradi mingi ila wewe kwa akili zako unaona mradi mmoja na kuchukulia ndo hali kila mahali.....kuna miradi mingi Tanzania imekwama kama bagamoyo ila najua uko hapa umelipwa kusifia magufooli

Sent using Jamii Forums mobile app
Bagamoyo tumeachana nao mlevi tu angekubaliana nao

Lamu mliyojinasibu nayo imewashinda hela hamna
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…