beth
JF-Expert Member
- Aug 19, 2012
- 3,880
- 6,368
Serikali ya Rwanda kupitia Wizara ya Afya imetangaza kuchukua tahadhari mbalimbali baada ya kutangaza mgonjwa wa Corona nchini humo.
Shule na taasisi za elimu ya juu zitafungwa kwa siku 14 kuanzia kesho. Kuanzia leo ibada zote zitafanyika nyumbani.
Wafanyakazi pia wametakiwa kubaki nyumbani. Biashaa na migahawa itabaki wazi na wateja wametakiwa kukaa umbali wa mita moja.