Rwanda: Shule, ofisi zafungwa kwa siku 14 kutokana na maambukizi ya Corona

Rwanda: Shule, ofisi zafungwa kwa siku 14 kutokana na maambukizi ya Corona

tanzania ndio tunajifanya tuna roho ngumu majamaa kutoka nchi za ulaya yanaingia bila hofu halafu huyo mwanamke anatuambia amewapima hawana virus wakati mtu anaweza akakaa navyo siku 14 bila kuonesha dalili zozote
 
Wacha tuendelee kunywa mtori hakika siku ya kuzikuta nyama chini ndio tutajua kwanini kuna kufa na kufariki
 
tanzania ndio tunajifanya tuna roho ngumu majamaa kutoka nchi za ulaya yanaingia bila hofu halafu huyo mwanamke anatuambia amewapima hawana virus wakati mtu anaweza akakaa navyo siku 14 bila kuonesha dalili zozote
Heheheheh
 
Uzuri wa huu ugonjwa unaanza na wakubwa kwahiyo hakuna shida .gonjwa litalipukia magogoni for the first time.
 
Sisi hatuhitaji hayo, Sisi tunahitaji kuzuia wazungu na wachina kuja nchini kwanza kwa muda wa miezi miwili hadi mitatu.

Rwanda nao ni wanafiki tu, wanachukua hizo measures huku bado wakiruhusu wazungu na wachina kuingia nchini mwao. Huu ni usanii wa kufanya mambo kwa "fasheni"
Acha porojo kwenye mambo mhimu mkuu
 
Haya mambo ni magumu, mpaka hapa hali ni tete. Hadi naogopa mimi.

Hawa virus hawachagui hawabagui. Nilikuwa siogopi sana until trump dinner companion alivokuwa tested positive for coronavirus, Trump nae akapimwa majibu yametanganzwa ni negative lakini sidhani hata kama ni positive wangesema.

Naogopa, leo mimi na familia yangu tumeamua kuanza rasmi kujifungia ndani mpaka hapo baadae.
Ondoa shaka, you are safe, Mungu amekulinda!
 
Serikali ya Rwanda kupitia Wizara ya Afya imetangaza kuchukua tahadhari mbalimbali baada ya kutangaza mgonjwa wa Corona nchini humo.

Shule na taasisi za elimu ya juu zitafungwa kwa siku 14 kuanzia kesho. Kuanzia leo ibada zote zitafanyika nyumbani.

Wafanyakazi pia wametakiwa kubaki nyumbani. Biashaa na migahawa itabaki wazi na wateja wametakiwa kukaa umbali wa mita moja.

View attachment 1388754
#CORONAVIRUS: Serikali ya Tanzania imesitisha mashindano ya michezo ya UMISETA na UMITASHUMTA yaliyokuwa yafanyike hivi karibuni ikiwa ni katika kuchukua tahadhari ya kujikinga na maambukizi ya #corona

> Aidha, Waziri wa TAMISEMI, Selemani Jafo ameagiza mahafali ya kidato cha 6 yafanyike bila kuruhusu watu kutoka nje ya shule kuingia kwenye sherehe

MAAMUZI YA BUSARA YA Mh JAFO. PAMOJA SANA KAKA JF
 
Back
Top Bottom