Kwani wewe upo nchi gani?Haya mambo ni magumu, mpaka hapa hali ni tete. Hadi naogopa mimi.
Hawa virus hawachagui hawabagui. Nilikuwa siogopi sana until trump dinner companion alivokuwa tested positive for coronavirus, Trump nae akapimwa majibu yametanganzwa ni negative lakini sidhani hata kama ni positive wangesema.
Naogopa, leo mimi na familia yangu tumeamua kuanza rasmi kujifungia ndani mpaka hapo baadae.
Kwahiyo tusubiri mpaka uanze kusambaa na kuua watu ndio tuchukue hatua?WAMEPANIKI BURE TU.
MNAUPA KIKI SANA HUU UGONJWA WAKATI AFRICA SIO ISHU WALA NINI.
Sent using Jamii Forums mobile app
My friend we were ignorant like you before HIV reached Bukoba!WAMEPANIKI BURE TU.
MNAUPA KIKI SANA HUU UGONJWA WAKATI AFRICA SIO ISHU WALA NINI.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ignorant indeedWAMEPANIKI BURE TU.
MNAUPA KIKI SANA HUU UGONJWA WAKATI AFRICA SIO ISHU WALA NINI.
Sent using Jamii Forums mobile app