Rwanda: Shule, ofisi zafungwa kwa siku 14 kutokana na maambukizi ya Corona

tanzania ndio tunajifanya tuna roho ngumu majamaa kutoka nchi za ulaya yanaingia bila hofu halafu huyo mwanamke anatuambia amewapima hawana virus wakati mtu anaweza akakaa navyo siku 14 bila kuonesha dalili zozote
 
Wacha tuendelee kunywa mtori hakika siku ya kuzikuta nyama chini ndio tutajua kwanini kuna kufa na kufariki
 
tanzania ndio tunajifanya tuna roho ngumu majamaa kutoka nchi za ulaya yanaingia bila hofu halafu huyo mwanamke anatuambia amewapima hawana virus wakati mtu anaweza akakaa navyo siku 14 bila kuonesha dalili zozote
Heheheheh
 
Uzuri wa huu ugonjwa unaanza na wakubwa kwahiyo hakuna shida .gonjwa litalipukia magogoni for the first time.
 
Acha porojo kwenye mambo mhimu mkuu
 
Ondoa shaka, you are safe, Mungu amekulinda!
 
#CORONAVIRUS: Serikali ya Tanzania imesitisha mashindano ya michezo ya UMISETA na UMITASHUMTA yaliyokuwa yafanyike hivi karibuni ikiwa ni katika kuchukua tahadhari ya kujikinga na maambukizi ya #corona

> Aidha, Waziri wa TAMISEMI, Selemani Jafo ameagiza mahafali ya kidato cha 6 yafanyike bila kuruhusu watu kutoka nje ya shule kuingia kwenye sherehe

MAAMUZI YA BUSARA YA Mh JAFO. PAMOJA SANA KAKA JF
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…