snipa
JF-Expert Member
- Dec 10, 2013
- 4,437
- 2,043
Guys Leo nimeona nizungumzie kuhusu air defense system ambazo Rwanda Wana deploy.
Asilimia kubwa ya system ambazo ziko public Rwanda anazinunua zinatoka Russia lakini watz wengi wamekua na hofu kwamba Rwanda anakuwa more strong zaidi ya Tanzania na kubwa ambacho pia wengi hawaelewi ni efficiency ya ufanyaji kazin wa air defense system.
Natoa fact ambazo zipo logic naanza hapa.
Rwanda ni nchi ndogo sana kama ilivyo Israel,
Israel anayo iron dome system ambayo kwa Sasa trump anaitaka iwepo marekani, lakini trump tusisahau ni mwanasiasa kwahiyo anaweza ongea vitu ambavyo ni impractical, kwanini nasema hivi, narudi kwa Rwanda, Ili watu wote wanaofikiri Rwanda inaweza kuwa strong kuliko Tanzania.
Iron Dome inafanya kazi na ilishajaribiwa na Iran, asilimia kubwa ya ballistic missile zilipita kwenye iron dome ambayo Israel wanaitegemea.
Marekani Ina ukubwa wa zaidi ya mara 490 ya Israel,
Israel ni nchi ndogo sana tuachane na mambo ya Yesu kwamba Israel ni taifa teule, hicho kitu kwenye practice hakipo kwasabu Israel anategemea air attack na air defense.
Trump akitaka aweke iron dome marekani bajet inaweza zidi one T $ kwasabu tu ya ukubwa wa marekani.
Tanzania tukisema wanunue air defense system kama za Rwanda basi tunaweza lala njaa zaidi ya miaka na tutakufa wote hivyo basi ground attack kwa Rwanda inatosha kuipoteza kabisa, na Rwanda ikawa kama ka mkoa ka TZ
Rwanda ni nchi ndogo sana kwahiyo wanaweza weka shield za air defense lakini ground wakafeli kwa zaidi ya 90%, kwa wote mnao ona huu Uzi mwambieni Kagame atafeli, TZ haiwezi ndiomana ukimpa fact anakimbilia mauaji ya kimbali kama Israel anavyokimbilia genocide kwa Adolf.
Trump kuweka iron dome marekani itamgharimu pesa nyingi sana ndiomana wanataka wajaribu kudeploy from space sio ground kama Israel.
Israel anapewa Kila kitu na Marekani mpaka F35 anapewa body tu na anaruhusiwa kuweka system zake kwasabu nchi zote ambazo marekani anawapa F35 ni part ya NATO kwahiyo Hana haha ya kuwapa body za F35 kwasabu ukiattack hizo nnchi unakuja umeattack NATO.
Tanzania hata Rwanda aagize system gani tutampiga ground na hato toboa.
snipa