Rwanda vs Tanzania Military system what in public makes Rwanda Stronger vs Tanzania and why Rwanda shouldn't try it.

Rwanda vs Tanzania Military system what in public makes Rwanda Stronger vs Tanzania and why Rwanda shouldn't try it.

Hizi report haziko accurate huwa zinatolewa na taasisi ulizoninua silaha...

Practically ni tofauti kabisa...

Uwe unajiongeza.
Na hapo ndipo kwenye usahihi wake. Wao wana data za ununuzi wa silaha dunia nzima. Sasa kama una question waliowauzia silaha utaamini data gani tena?
 
Aliyeelewa anitumie kwa sauti, maana mara Rwanda, mAra Marekani, mara Tz, mara Israe
Uzi huu kama ulipanda gari za njano kwenda shule unaweza kuhamia Jamii check. Hapakuhusu
 
Kongo kuwa namba 8 napinga mpaka milele, kwasababu ili uwe na jeshi imara inabidi uwe na vitu vikuu 3.
1.Uchumi imara
2.Teknolojia(uwe na silaha kali na za kisasa)
3.Intelejensia bora(uwe na uwezo wa kumjua adui yako kiundani mfano;ana silaha za aina gani,zina uwezo gani,uimara wake na udhaifu wake n.k)

Kongo hana vyote nilivyovitaja hapo. Turudi kwa rwanda, yes ukiilinganisha rwanda na Tanzania yes tz iko juu kijeshi kwa factors 3 nilizozitaja hapo juu.

Hapa afrika Tanzania ni nchi pekee iliyowahi kupigana vita na nchi nyingine na ikashinda. hakuna nchi nyingine iliyowahi kufanya ivo.
Nyoe waningongo😂😂😂
 
Back
Top Bottom