Tetesi: Rwanda wafunga mipaka kwa muda wa wiki mbili kwa wageni

Tetesi: Rwanda wafunga mipaka kwa muda wa wiki mbili kwa wageni

Fast Forward

JF-Expert Member
Joined
Feb 20, 2014
Posts
551
Reaction score
709
Wakuu naona wenzetu kabla mambo hayajawa magumu sana wameamua kusimamisha baadhi ya huduma kwa kuhofia maambukizi mapya ya virus vya corvod19.

Tanzania ina la kujifunza hapa, Kenya nao upande wa sirari nao walishatoa tamko la kuzuia watanzania kuingia nchini kwao
IMG-20200321-WA0035.jpeg
 
Back
Top Bottom