Fast Forward
JF-Expert Member
- Feb 20, 2014
- 551
- 709
Wakuu naona wenzetu kabla mambo hayajawa magumu sana wameamua kusimamisha baadhi ya huduma kwa kuhofia maambukizi mapya ya virus vya corvod19.
Tanzania ina la kujifunza hapa, Kenya nao upande wa sirari nao walishatoa tamko la kuzuia watanzania kuingia nchini kwao
Tanzania ina la kujifunza hapa, Kenya nao upande wa sirari nao walishatoa tamko la kuzuia watanzania kuingia nchini kwao