Fast Forward JF-Expert Member Joined Feb 20, 2014 Posts 551 Reaction score 709 Mar 21, 2020 #1 Wakuu naona wenzetu kabla mambo hayajawa magumu sana wameamua kusimamisha baadhi ya huduma kwa kuhofia maambukizi mapya ya virus vya corvod19. Tanzania ina la kujifunza hapa, Kenya nao upande wa sirari nao walishatoa tamko la kuzuia watanzania kuingia nchini kwao
Wakuu naona wenzetu kabla mambo hayajawa magumu sana wameamua kusimamisha baadhi ya huduma kwa kuhofia maambukizi mapya ya virus vya corvod19. Tanzania ina la kujifunza hapa, Kenya nao upande wa sirari nao walishatoa tamko la kuzuia watanzania kuingia nchini kwao