Sawa bwana shetani!Mtu anayesali/swali kwa imani na kweli hawezi kutanga tanga kwenye kila nyumba ya ibada kutafuta miujiza.
Shida sio kuabudu ila ni imani ya kweli kwa kile unachokiabudu.
Sawa bwana shetani!Mtu anayesali/swali kwa imani na kweli hawezi kutanga tanga kwenye kila nyumba ya ibada kutafuta miujiza.
Shida sio kuabudu ila ni imani ya kweli kwa kile unachokiabudu.
Rohoni ndiyo wapi? Mbona hili swali nimeuliza sana hapa jf mmekimbia kulijibu? Tuache kupotosha watu na kujioatia mapato ya aibu.Mambo ya rohoni hayaendeshwi kimwili yan eti elimu ndiyo uwe mchungaji ile siyo kaz ya kimwili ni kaz inayomuhusu MUNGU si wanadamu.
Mungu ni nini? In other words, define the word GODSiku ukitambua Mungu hayupo, rudia andiko lako
Ntakwambia ni kitu gani wakati hakipo? How can I define something that has never existed!?Mungu ni nini? In other words, define the word GOD
Stupid[emoji57]Hii nchi ina uhuru wa kuabudu ili mradi huvunji sheria...
Acha kila mtu atafute ugali kwa jinsi anavyoona maana hakuna mchungaji au sheikh aliyekuja kuomba ugali nyumbani kwako.
Exodus 24 9 says Moses saw God.Mungu ni nini? In other words, define the word GOD
Bado hujajibu swali langu; Mungu ni nini? Ot define the word God!Exodus 24 9 says Moses saw God.
John 1 18 Jesus said no one have ever seen God. Christian, plz explain
Siwezi kuhangaika na hilo kwa sababu mi siamini uwepo wake. Ntakuwa napoteza muda sasa kuanza kuisumbua akiliBado hujajibu swali langu; Mungu ni nini? Ot define the word God!
Unacho kiongea hakitoki moyoni mwako, unailazimisha akili kuamini jambo ambalo halitaki. Mbona unasoma Biblia na kuiamini?Siwezi kuhangaika na hilo kwa sababu mi siamini uwepo wake. Ntakuwa napoteza muda sasa kuanza kuisumbua akili
Huo ni mwanzo siku wakigusa kupunguza misikiti watu wasilalamike humu.Naipongeza Serikali ya Rwanda kuona mbali na kuweka utaratibu mzuri wa makanisa, Misikiti na taasisi za dini
Rwanda imefungia zaidi ya makanisa 600,
Kabla walipiga marufuku matumizi ya azana Kwa Misikiti kuwa unaleta usumbufu Kwa wasio kuwa wa Imani hiyo na kuweka ustaarabu wa kuitana Kwa alarm
Sio alfajiri unapiga ukunga na watu wamepumzika
Taratibu za kufungua kanisa Rwanda
1. Elimu
Lazima mwanzilishi wa Kanisa na wachungaji waandamizi wawe na degree ya teolojia.
Sio kuamka na darasa la 7 yako eti Mungu amekuita uwe nabii na ufungue kanisa
Mwishowe unaanza mahubiri ya Zumaridi, kuuza mafuta na chumvi ya upako au kuamuru waumini kufunga hadi kufa
2. Miundo wa uongozi
Kanisa linatakiwa liwe na mfumo wa uongozi yani liwe taasisi sio mali ya mtu binafsi.
Kwa Hapa nawapongeza wenzetu waislam, hakuna Misikiti unaomilikiwa na shehe Fulani
3 Uungwaji mkono
Mchungaji anayeanzisha kanisa atatakiwa apate idadi ya watu wasiopungua 1000 katika wilaya yake. Sio kanisa Lina la mavazi na maturubai Lina waumini 6 tu huku kwetu
4 Pesa ya kiingilio
Kiingilio au pesa ya kutuma maombi ni takbani million 5 hadi 6, ambayo haitarudishwa kama vigezo vingine havitatimizwa
5 Kuratibu mapato
Serikali itataka kujua mapata ya kanisa na kuyalipia Kodi
Haiwezekani makanisa yakamue Raia masikini wa nchi hiyo huku mchungaji akinunua chopa na magari ya kifahari huku waumini wakitelea yebo
6 Eneo la kujenga kanisa
Serikali ya Rwanda itajiridhisha kuwa kanisa halipo karibu na makazi ya watu, sio kanisa lipo katikati ya makazi ya watu, mikesha kila siku na watu hawalali
Rais Kagame ameonyesha hekima kuu ya utapeli unaojipenyeza katika Imani,
Mwaka Jana maelfu ya watu walikufa huko Kenya msitini Kwa kufuata mafundisho ya uongo
Hapa kwetu makanisa hayalipi Kodi japo wanaingiza mapato makubwa, mizigo bandarini hailpi
Natumai serikali yetu itajipa muda kuinga mfano wa Rwanda
😅😅😅😅sijui kwanini nimecheka.Sio alfajiri unapiga ukunga na watu wamepumzika
Hizi ibada za mizimu? Kuna Ibada ya Mungu hapa afrika au ni njaa tu?Serekali inayoweka vipingamizi katika suala la kumwabudu Mungu ni serekali ya shetani.
God is an imaginary being.Mungu ni nini? In other words, define the word GOD
Ibada za mizimu zipo,na ibada za Mungu wa kweli nazo zipo pia.Hizi ibada za mizimu? Kuna Ibada ya Mungu hapa afrika au ni njaa tu?
Duh! Yenyewe inajicontradict. Naiamini vipi sasaUnacho kiongea hakitoki moyoni mwako, unailazimisha akili kuamini jambo ambalo halitaki. Mbona unasoma Biblia na kuiamini?
Kitendo cha ku quote Biblia means unajua huko ndio kwenye imani ya kweli. Nilikuuliza, nini maana ya Mungu? Ikumbukwe Mungu anatajwa hadi na dini za babu zetu, nini kilikupeleka kwenye Biblia na sio kuraani, dini/mungu wa kabila lako, Hindu etc? Kumkana Mungu ni kazi ngumu sana ndugu yangu, ngumu mno. Lazima utajichanganya tuDuh! Yenyewe inajicontradict. Naiamini vipi sasa
Jaribu kuficha roho ya tamaa na wizi inayokutafuna dada anguHii nchi ina uhuru wa kuabudu ili mradi huvunji sheria...
Acha kila mtu atafute ugali kwa jinsi anavyoona maana hakuna mchungaji au sheikh aliyekuja kuomba ugali nyumbani kwako.
👍👍👍Jaribu kuficha roho ya tamaa na wizi inayokutafuna dada angu