Rwanda wameweza kuzuia makanisa kuenea kama uyoga

Mambo ya rohoni hayaendeshwi kimwili yan eti elimu ndiyo uwe mchungaji ile siyo kaz ya kimwili ni kaz inayomuhusu MUNGU si wanadamu.
Rohoni ndiyo wapi? Mbona hili swali nimeuliza sana hapa jf mmekimbia kulijibu? Tuache kupotosha watu na kujioatia mapato ya aibu.
 
Hii nchi ina uhuru wa kuabudu ili mradi huvunji sheria...
Acha kila mtu atafute ugali kwa jinsi anavyoona maana hakuna mchungaji au sheikh aliyekuja kuomba ugali nyumbani kwako.
Stupid[emoji57]

hata hapa Tz iwekwe sheria kama rwanda, utapeli wa watu kujifanya watumishi wa mungu kumbe wasaka tonge umezidi
 
Serekali inayoweka vipingamizi katika suala la kumwabudu Mungu ni serekali ya shetani.
 
Huo ni mwanzo siku wakigusa kupunguza misikiti watu wasilalamike humu.
 
Duh! Yenyewe inajicontradict. Naiamini vipi sasa
Kitendo cha ku quote Biblia means unajua huko ndio kwenye imani ya kweli. Nilikuuliza, nini maana ya Mungu? Ikumbukwe Mungu anatajwa hadi na dini za babu zetu, nini kilikupeleka kwenye Biblia na sio kuraani, dini/mungu wa kabila lako, Hindu etc? Kumkana Mungu ni kazi ngumu sana ndugu yangu, ngumu mno. Lazima utajichanganya tu
 
Hii nchi ina uhuru wa kuabudu ili mradi huvunji sheria...
Acha kila mtu atafute ugali kwa jinsi anavyoona maana hakuna mchungaji au sheikh aliyekuja kuomba ugali nyumbani kwako.
Jaribu kuficha roho ya tamaa na wizi inayokutafuna dada angu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…