Tanzania ha ha haaaa...Jimmy you are right that is metaphoric ambitious of our Government. Ukienda bungeni yanayosemwa mengine yanayofanyika mengine, kweli sisi tumelala. Aljunior...don't worry Bob Marley said 'time will tell' let us wait...Nyerere pia alisema tunahitaji vitu 3, watu, uongozi bora, siasa safi ukiangalia kwa makini hivi sasa tunaita good governance, which of which is more than that....hii siasa safi ndiyo ngumu maana mwenyewe mzee alikaa madarakani miaka umri wetu, waliokuwa madarakani hawabanduki eti demokrasia ni wao kubadilishana vipindi vya uongozi, hawataki wapinzani waende, that is not demokrasi...then nchi hizi za kiafrika mzee hata hao wanaojihita wapinzani ni walewale tu, hamna jpya enzi zile za mwalimu wangeitwa wasaliti maana wametokea huko huko, nao pia hawabadiriki ni walewale tangu enzi zile, sasa hapa ndipo napata kigugumizi cha macho na fikira...in simple analysis all these can be called ''the same wine but in different bottles''. Time will tell, wacha tulale ili hiki kizazi kipite ili siye ambao hatukuimba TANU ya jenga nchi tuingie, i am sure mambo yatabadirika tu.
Huko Rwanda wazee walifyekana mapanga walibaki watoto ndiyo hao wanaendeleza nchi, checki Angola, asilimia 60 ya watu ni chini ya miaka 20, sasa niambia kizazi hicho kinauchu sana wa maendeleo na niwasomi kama siye hapo bongo, ila sisi hatuna opportunities za kupata kazi to effect sound developement in our country. Ila sisemi tupigane no, hawa wazee waondoke wenyewe tu, so uongozi lazima ubadilike...sasa hapa ndipo pasipoeleweka...tukisema uongozi siyo rais au mawaziri tu, tunamaanisha sekta za maendeleo kuanzia makatibu wakuu hadi wakuu wa idara huko vichocholoni, iweje mtu kashafikisha umri wa kustaafu bado yupo tu au eti anapewa contract kuwa ni mzoefu, sasa sijui uzoefu wa kula mali za umma au kipi u uzoefu wa old technology wa kutumia typewriter? kwa hiyo siyo mabadiriko eti waziri kijana katibu mkuu, mkurugenzi, wakuu wa idara etc ni babu zake...do we think, kutakuwa na mabadiriko ya kweli kwa mtindo huu...leo Aljunior anasemakuhusu technology hivi niambie katika bunge lile/baraza lile, makatibu wakuu, wakuu wa mikoa hawa...wangapi wanajuwa kutumia kumputa, wangapi kwa siku wanatumia internet siyo kusoma outlook au email, kutumia?...jibu utapata hapo, then hii tecknologia do we think kwa hali hii wataihubiri kweli?...Sasa wamekuja na kitu eti bottom-up approach, eti tuanze sisi wanyonge kujadiri huku chini then maoni yetu yatashughurikiwa...wapi i think ni kutulalisha usinginzi tu ambao mtaalamu Jimmy kasema hapo juu.
Tatizo viongozi wetu hawana vipaumbele wao wanayumba kama bendera kufuata misaada inakopatikana na kuakikisha pesa wamepata ili kutunisha account zao tu...bila kujari dira yake.
The best way to reach the actual development ni kuakikisha tunazingatia viapaumbele vyetu kwenye sera na altitude ya one goal kuahakikisha kila mwaka au muhula wa uongozi, basi kiongozi wetu asema mwaka huu mimi ni maji tu, au barabara tu au teknologia tu, nk hapo tutaweza kumjaji au hata mwenyewe anaweza kufanya evaluation...sasa kila kitu kipaumbele umesikia wapi...impossible kabisa. Hata nyumbani kwako kama hauna focus utashindwa hata kununua kochi, ni lazima ubange mwezi huu au mwaka huu lazima ninunue radio, this is development siyo hapa kwetu tumeendelea sana kwenye ripoti. Kitu kingine hawa viongozi wetu wametokea kwenye shida bora hata sisi, sasa sijui kitugani kinawasahaulisha kwa mfano wanajuwa jinsi mama zao walivyopata shida kuteka maji, leo hii hawakumbuki kuhakikisha maji yanapatikana. Wanahamia Dar tena masaki ah haaaa wanasahau, wanakumbuka wakifulia. Bajeti imepita hamna lolote...wamejitengea pesa tu za kujaza matumbo. Miaka 5 imeisha miye sijui what was the main goal for this five years...kuleta kadhi mkuu, zanzibar nchi kavu au nchi maji, kuleta maji still watu wanakiu, kujenga barabara bado watu wanaugua TB vumbi barabarani, umeme, kuchimba mafuta,kujenga uwanja mpya wa ndege,etc utaona kwa kweli focus ni tege...tunataka kufanya vitu vyote kwa wakati mmoja, matokeo yake tupo nyuma kwa kila kitu..., si mchezo wa netboli wala bao kote tunashindwa tu. May be tumefanikiwa kumleta Maximo...Tanzania oyeeeeeeeeeee