Mung Chris
JF-Expert Member
- Sep 12, 2017
- 3,391
- 3,849
Mzee kagame Kwa kusafiria na kutafuta fursa hajambo. Kila mikutano ya kimataifa humkosi iwe world trade organisation, G20 summit, G7 summit, n.k.Hivi viwanda vinatoa ajira nyingi sana, Kagame Rais wa Rwanda amefanyayaje ili kuwaingiza wawekezaji hawa kuweka viwnda nchini kwake na si kwetu Tanzania kwenye nafasi kubwa? kwanini sio nchini kwetu kwanini nauliza.
View attachment 1226032View attachment 1226033View attachment 1226034View attachment 1226035View attachment 1226036View attachment 1226037View attachment 1226038View attachment 1226039View attachment 1226040View attachment 1226041
Kwanini Rais wetu mpendwa kwanini anashindwa kusafiri ili apate vitu adimu.Mzee kagame Kwa kusafiria na kutafuta fursa hajambo. Kila mikutano ya kimataifa humkosi iwe world trade organisation, G20 summit, G7 summit, n.k.
Mkuu, siyo lazima yeye. tuna mabalozi kila kona vipi hawa?Je, washauri wake hawashauri?Kwanini Rais wetu mpendwa kwanini anashindwa kusafiri ili apate vitu adimu.
Tupo huku na PHD zetu.
Chako cha ku assemble kiko wapi?Mimi nikadhani wanaunda (manufacturing ) kumbe wanaunganisha (assembling)!!!??, sasa wametuzidi nini??!;🤣
Chako cha ku assemble kiko wapi?
Si Tanzania ni Tajiri inakila kitu! Madini, mbuga, bandari,wananchi wengi! Basi nchi nitajiri inatosha.Hivi viwanda vinatoa ajira nyingi sana, Kagame Rais wa Rwanda amefanyayaje ili kuwaingiza wawekezaji hawa kuweka viwnda nchini kwake na si kwetu Tanzania kwenye nafasi kubwa? kwanini sio nchini kwetu kwanini nauliza.
View attachment 1226032View attachment 1226033View attachment 1226034View attachment 1226035View attachment 1226036View attachment 1226037View attachment 1226038View attachment 1226039View attachment 1226040View attachment 1226041
Wanaunda MokazeMimi nikadhani wanaunda (manufacturing ) kumbe wanaunganisha (assembling)!!!??, sasa wametuzidi nini??!;🤣