Mung Chris
JF-Expert Member
- Sep 12, 2017
- 3,391
- 3,849
Hivi viwanda vinatoa ajira nyingi sana, Kagame Rais wa Rwanda amefanyayaje ili kuwaingiza wawekezaji hawa kuweka viwnda nchini kwake na si kwetu Tanzania kwenye nafasi kubwa? kwanini sio nchini kwetu kwanini nauliza.