Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unaongelea hisia kwenye miradi yenye maslahi Kwa Kenya sio? Vp kuhusu Kenya kukataa kujiunga na East African crude pipeline? Ni uzalendo na sio biashara?Mgome kuruhusu kivipi, biashara na miundo mbinu haziendeshwi kwa hisia bali mahesabu na maslahi.
Hao Kagera walifaa kuwa kitovu cha ukandaa huu lakini maamuzi ya kizembe ya kufanyikia Dar huwalemaza kiuchumi. Wanayo barabara inayokatiza nchi kadhaa.
Makali ya kugongwa na Mchina yanaanza kwa mbalii..sisi tunawangoja ni mwendo wa pini tu...!Wakenya wanachanganyikiwa sasa. Wanaujua mto kagera au wanausikia tu!? Nimecheka sana meli ipite kwenye mto kagera. Yaani watoe mzigo Mombasa wapite kwenye maji ya Tanzania ndani ya Ziwa victoria halafu waingie kwenye mto kagera uliopo mkoa wa kagera kisha waende Rwanda. Huu hakika ni wehu. Tunakoelekea wakenya watakuwa vichaa.
Niliwahi kuonya humu kuhusu sgr zisizo na tija watu wakafuka gesi,ngoja tusubiri wajenge tuone itakavyo boost uchumisio serikali tu, hata wewe una weza iona hio fursa na kuichangamkia... maeneo mengine walifanyaje... huko sirari, namanga, tunduma, songea, tarakea nk...
kigoma huko mabamba, na manyovu watu wanafanya biashara... wewe fursa ipi unayo izungumzia hapa... labda tunaweza elewana mkuu sio kwa ubaya tu... maana ndio tuna pigania maendeleo yetu... wewe ulipo iona ina wezekana mimi sikuiona na ina wezekana isiwe kipaumbele kwangu...
ni kama watu wasemavyo SGR ni anguko la kiuchumi kwa Tz... lakini viongozi na baadhi wanaiona ni fursa...
Ni kwanini unasema sgr haitaboost uchumi nipe hoja mujarabuNiliwahi kuonya humu kuhusu sgr zisizo na tija watu wakafuka gesi,ngoja tusubiri wajenge tuone itakavyo boost uchumi
Huko inakoelekea kuna uchumi gani wa kuhitaji uwekezaji wa sgr ilhali Tazara inayopita eneo potential inakula hasara?Ni kwanini unasema sgr haitaboost uchumi nipe hoja mujarabu
Wakenya wanachanganyikiwa sasa. Wanaujua mto kagera au wanausikia tu!? Nimecheka sana meli ipite kwenye mto kagera. Yaani watoe mzigo Mombasa wapite kwenye maji ya Tanzania ndani ya Ziwa victoria halafu waingie kwenye mto kagera uliopo mkoa wa kagera kisha waende Rwanda. Huu hakika ni wehu. Tunakoelekea wakenya watakuwa vichaa.
Where is this river found in Afrika?Akagera River
una uhakika TAZARA inakula hasara! na unajua kwa nini!? halafu hii reli haiendi Rwanda tu.. ukitaka upate uchumi wa reli ya Sgr inapoenda piga hesabu ya GDP ya Morogoro, Dodoma, Tabora, Mwanza, kigali, Bujumbura na maeneo ya jirani ya hayo maeneo bila kusahau Congo.Huko inakoelekea kuna uchumi gani wa kuhitaji uwekezaji wa sgr ilhali Tazara inayopita eneo potential inakula hasara?
Wataweka meri ya umeme si kwa milima ile meri ipate kina cha kueleaHuyo mwenye hiyo plani atakuwa kwanza ni chiz make sio bure sasa ni meli gani itakuwa ikipas kwenye huo mto au itakuwa inabeba kontena moja tofauti na hapo mchimbe mto upya kupata kina na mkifaka kwa upande wetu haturuhusu
Kwanza reli ni kwa manufaa ya Tanzania kabla ya nchi za nje kisha naomba unipe statistics za mizigo ya Congo, Burundi, Rwanda na Uganda ambayo wewe unaiona ni michache sana hivyo hakuna haja ya kuwa na sgr ili tuongee hoja kwa economic analysis badala ya siasa za kishamba za kimihemko. KaribuHuko inakoelekea kuna uchumi gani wa kuhitaji uwekezaji wa sgr ilhali Tazara inayopita eneo potential inakula hasara?
Mimi mwenyewe nilitaka kumwambia hivyo.Kwanza reli ni kwa manufaa ya Tanzania kabla ya nchi za nje kisha naomba unipe statistics za mizigo ya Congo, Burundi, Rwanda na Uganda ambayo wewe unaiona ni michache sana hivyo hakuna haja ya kuwa na sgr ili tuongee hoja kwa economic analysis badala ya siasa za kishamba za kimihemko. Karibu
Huyu ni jaluo linajifanya mtanzania huwa anapinga kila kitu kinachofanywa na MAGUFULI hivi kuna mtu mwenye akili timamu atapinga huu mradi mimi nilidhani atasema tumechelewa kuna watu ni wapumbavu sana kwenye huu ulimwenguMimi mwenyewe nilitaka kumwambia hivyo.
Hawaelewi hata mto ulivyo wanakurupuka tuWataweka meri ya umeme si kwa milima ile meri ipate kina cha kuelea
Nimeshindwa kuatach picha za maeneo korofi ninazo ya mto huo ninazo hapa ungepata maswali yakujiuliza kama ni kweli itafanikiwa kwa gharama gani nisaidie jinsi ya kuatach nikutumie mbili tuHawaelewi hata mto ulivyo wanakurupuka tu![]()
![]()
Wakenya ukichaa unawakaribia. Siyo muda mrefu tutawaona wanaanza kubeba makopo.Hawaelewi hata mto ulivyo wanakurupuka tu![]()
![]()