Rwanda wana mipango tuwafikie kwa kutumia mto Akagera

Kiufupi hiyo boti ikikatiza tu kwenye mipaka yetu tunaichoma moto, tukiwaonea huruma tutaipiga mnada.
 
wakenya ni watu wa ajabu sana!! khaaaa
 
Mgome kuruhusu kivipi, biashara na miundo mbinu haziendeshwi kwa hisia bali mahesabu na maslahi.
Hao Kagera walifaa kuwa kitovu cha ukandaa huu lakini maamuzi ya kizembe ya kufanyikia Dar huwalemaza kiuchumi. Wanayo barabara inayokatiza nchi kadhaa.
Unaongelea hisia kwenye miradi yenye maslahi Kwa Kenya sio? Vp kuhusu Kenya kukataa kujiunga na East African crude pipeline? Ni uzalendo na sio biashara?
 
Makali ya kugongwa na Mchina yanaanza kwa mbalii..sisi tunawangoja ni mwendo wa pini tu...!
 
Niliwahi kuonya humu kuhusu sgr zisizo na tija watu wakafuka gesi,ngoja tusubiri wajenge tuone itakavyo boost uchumi
 
Wakenya wanaweza kuvaa chupi kichwani siku za hivi karibuni kwa namna tunavyowahenyesha ni mwendo wa kichurachura kila mahala pamoto Uganda waliopakana nao aamewashinda warukia Rwanda ambapo hata haina uhusiano nao wa aina yoyote sijui hiyo mizigo watapitisha wapi
 

ahaaa haaa haaa... these guys are very fun... if NOT comic.
 
Huko inakoelekea kuna uchumi gani wa kuhitaji uwekezaji wa sgr ilhali Tazara inayopita eneo potential inakula hasara?
una uhakika TAZARA inakula hasara! na unajua kwa nini!? halafu hii reli haiendi Rwanda tu.. ukitaka upate uchumi wa reli ya Sgr inapoenda piga hesabu ya GDP ya Morogoro, Dodoma, Tabora, Mwanza, kigali, Bujumbura na maeneo ya jirani ya hayo maeneo bila kusahau Congo.

Hii reli haitosaidia watu wa mikoa ambayo itapita tu.. Mfano leo hii safari ya kutoka dar - Bukoba, kwa bus Ina anza alfajiri ya saa 12 mtu anafika kesho yake saa 5 asubuhi. ila kwa hii reli mtu anaeza fika Mwanza saa 10 jioni siku hiyo hiyo akapanda Meli akafika BK kabla ya saa 12.

Ata mpumbavu akikaa kimya anaonekana Mwerevu, U should try it.
 
Huyo mwenye hiyo plani atakuwa kwanza ni chiz make sio bure sasa ni meli gani itakuwa ikipas kwenye huo mto au itakuwa inabeba kontena moja tofauti na hapo mchimbe mto upya kupata kina na mkifaka kwa upande wetu haturuhusu
Wataweka meri ya umeme si kwa milima ile meri ipate kina cha kuelea
 
Huko inakoelekea kuna uchumi gani wa kuhitaji uwekezaji wa sgr ilhali Tazara inayopita eneo potential inakula hasara?
Kwanza reli ni kwa manufaa ya Tanzania kabla ya nchi za nje kisha naomba unipe statistics za mizigo ya Congo, Burundi, Rwanda na Uganda ambayo wewe unaiona ni michache sana hivyo hakuna haja ya kuwa na sgr ili tuongee hoja kwa economic analysis badala ya siasa za kishamba za kimihemko. Karibu
 
Mimi mwenyewe nilitaka kumwambia hivyo.
 
Mimi mwenyewe nilitaka kumwambia hivyo.
Huyu ni jaluo linajifanya mtanzania huwa anapinga kila kitu kinachofanywa na MAGUFULI hivi kuna mtu mwenye akili timamu atapinga huu mradi mimi nilidhani atasema tumechelewa kuna watu ni wapumbavu sana kwenye huu ulimwengu
 
Hawaelewi hata mto ulivyo wanakurupuka tu
Nimeshindwa kuatach picha za maeneo korofi ninazo ya mto huo ninazo hapa ungepata maswali yakujiuliza kama ni kweli itafanikiwa kwa gharama gani nisaidie jinsi ya kuatach nikutumie mbili tu
 
Kama unatumia simu bofya kwenyi kimshale cha kushoto sehemu ya quick reply
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…