Rwanda wana mipango tuwafikie kwa kutumia mto Akagera

Wakenya ukichaa unawakaribia. Siyo muda mrefu tutawaona wanaanza kubeba makopo.
Sasa kweli hapo utapitisha meli gani sasa. Hata boat yenyewe haiwezi pita.
Hawajafanya hata research wajue mto ukoje sasa kwel huo mto itapita ship gan

Au ndio hizi make naona ziko tayari bandarini kisumu kuanza kupeleka kontenna kigali [emoji1] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Hawajafanya hata research wajue mto ukoje sasa kwel huo mto itapita ship gan

Au ndio hizi make naona ziko tayari bandarini kisumu kuanza kupeleka kontenna kigali [emoji1] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
mto utanuliwa uwe kama canal e.g seuz in egypt or panama dont expose how dimwitted you are at times
 
mto utanuliwa uwe kama canal e.g seuz in egypt or panama dont expose how dimwitted you are at times
Hizo ni ndoto za mchana. Utainuliwa na nani? Kenya hawanapesa sasa hivi wanapumulia mashine. China inawadai.
Yaani nchi ya Tanzania iwe imekaa tu na kuwaangalia wakenya wakiwa wanachimba mto. Hujui ni uharibifu wa mazingira?
 
Wanafikiri tumesahau walivyo tufungulia kesi tusjenge barabara ya lami serengeti
 
mto utanuliwa uwe kama canal e.g seuz in egypt or panama dont expose how dimwitted you are at times

Ndivyo walivyo hawa, ukisikia Trump anaitukana Afrika sio sababu nyingine, yaani watu hawafikirii nje ya mapua yao. Kuna Waafrika wangezaliwa nchi za barafu wangekufa wote maana ubunifu zero.
 
Ndivyo walivyo hawa, ukisikia Trump anaitukana Afrika sio sababu nyingine, yaani watu hawafikirii nje ya mapua yao. Kuna Waafrika wangezaliwa nchi za barafu wangekufa wote maana ubunifu zero.
Haya fanyani ubunifu chimbeni mfeleji basi
 
mto utanuliwa uwe kama canal e.g seuz in egypt or panama dont expose how dimwitted you are at times
Eti utatanuliwa... Halafu mnakuja kuutanua Tz! mnapenda kutanulia wanaume.. endeleeni kutanua hivyo hivyo mtashtuka mambo yamesha haribika
 
Ko unadhani watanzania tulikuwa na shida sana ya sgr kuliko infra zingine? Basi hayo ni matumizi mabaya ya rasilimali
 
Watu kama ww reasoning yenu ni ndogo sana zaidi ya kujifariji,huko unakokusema ww kuna GDP gani ya kuhitaji sgr? Be rational and have a strategic economic reasining,sio kuleta point za development studies kwenye Transport economics and economy at general
 
duuh!!!!
 
Ko unadhani watanzania tulikuwa na shida sana ya sgr kuliko infra zingine? Basi hayo ni matumizi mabaya ya rasilimali
Ulianza na nchi tunazozilenga kufikisha sgr hazina uchumi wa maana baada ya kukutaka udhibitisho unakimbilia kwenye wa Tanzania hatuna haja ya SGR, wewe ndio msemaji wa watanzania? Kuna mtanzania amesema hataki sgr, huna hoja ya maana zaidi ya upinzani wa kipumbavu.
 
Hii plan Haiwezekani ukifika eneo la kikagate Uganda au Mulongo upande wa Tanzania mto unapokatiza kuna power plants za tanesco wametengeza mapolomoko Nafikiri hizo meli zao za kusadikika zitaishia hapo
 
mto utanuliwa uwe kama canal e.g seuz in egypt or panama dont expose how dimwitted you are at times
Mto kumbuka pia eneo kubwa unapita Tanzania unadhani hio plan mtapata slope tu hasa kwa mlivyo na roho mbaya labda kama huo mto unapita angani ila hio plan inawezekana Raila akichukua nchi..........
 
Huu mto haufai kwa usafiri, una complex geological profile. Bahati nzuri nimefanikiwa kutembelea baadhi ya maeneo Kaskani na Magharibi Mkoa wa Kagera ambapo huo mto ni mpaka wa Tanzania/ Uganda na Rwanda yenyewe. Kuna baadhi ya maeneo maji yanatiririka. Mbali na hapo kwenye eneo la mpaka wa Uganda na Tanzania Kikagate na Murongo wanatengeneza HEP station. Pia Huu mto una magugu maji hatari sana ambayo hayata support navigability. Kwa sababu tu hata boti za uvuvu ni nadra sana kwenye maeneo ambayo mto ni mpana (Intermidiate Lakes) umetengeneza kama viziwa vidogo. Bado usafiri wa Reli ya SGR kwa Rwanda ni wa muhimu.

Wakenya hawajui lolote zaidi ya misifa
Kama huyo MK254 ametoka sana kafika Kajiado
 
Wakishashibaga githeri na avocado wanawazaga utopolo tu
 
Mtoa nyuzi ktk maandishi yote haya sijaona mahala imetajwa Kenya

Kumbuka izo vessel kutoka Rwanda kwenda huko kisumu ni lazima i cross eneo la Uganda sasa hapo ndio picha linapo anzia
 
Mtoa nyuzi ktk maandishi yote haya sijaona mahala imetajwa Kenya

Kumbuka izo vessel kutoka Rwanda kwenda huko kisumu ni lazima i cross eneo la Uganda sasa hapo ndio picha linapo anzia
Wewe utakuwa mgeni, mtoa thread ni Mdau mkubwa wa Kenya. Nyuzi mbali mbali kuhusu Kenya humwambii kitu

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…