Nchi yoyote inahitaji kuwa na MTU mmoja jasiri anayeweza kubadili changamoto kuwa Fursa.
Kagame ni Mfano Wa kuigwa.
Tanzania tunakwama Kwa sababu tuna viongozi waliowekwa bila kutarajia.
MTU unaitwa unaambiwa Sasa tunakupa urais au Ubunge . Tumekupa nafasi ya kula na kuijenga familia Yako.
Viongozi WENGI Wa Tanzania wakiwemo mawaziri na wabunge hawana Maono ya nini watalifanyia taifa hili zaidí ya kuwekwa Kama chawa Wa wawekezaji.