RWANDA wapokea faru 10 kutoka Sauzi!

RWANDA wapokea faru 10 kutoka Sauzi!

Rutashubanyuma

JF-Expert Member
Joined
Sep 24, 2010
Posts
219,468
Reaction score
911,184
Wakati sisi mjadala ni vifo vya faru waliotoka Sauzi, Kagame kapokea faru 10 kutoka Madiba country!

Screenshot_2017-05-03-16-22-37.png
 
Nchi yoyote inahitaji kuwa na MTU mmoja jasiri anayeweza kubadili changamoto kuwa Fursa.

Kagame ni Mfano Wa kuigwa.

Tanzania tunakwama Kwa sababu tuna viongozi waliowekwa bila kutarajia.

MTU unaitwa unaambiwa Sasa tunakupa urais au Ubunge . Tumekupa nafasi ya kula na kuijenga familia Yako.

Viongozi WENGI Wa Tanzania wakiwemo mawaziri na wabunge hawana Maono ya nini watalifanyia taifa hili zaidí ya kuwekwa Kama chawa Wa wawekezaji.
 
Back
Top Bottom