Rwanda yapeleka Wanajeshi zaidi Msumbiji kuwakabili magaidi

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Chadema ni chama cha wastani barani Africa lakini kwa wiki mbili Tatu kimekuwa gumzo huko Marekani na Ulaya

Lakini kilichonishangaza ni namna Nchi kubwa ya Msumbiji inavyoitegemea nchi ndogo ya Rwanda kiulinzi

Baada ya magaidi kuuwa askari kadhaa wa Msumbiji mh Kagame ametuma Wanajeshi zaidi nchini humo kuimarisha Ulinzi

Sabato njema!
 
Kinachoisaidia rwanda kiintekijensia
1. Nchi ndogo
2. Nchi ya wanaofanana kwa asilimia kubwa(akitokea mtu wa taifa jingine kujipenyeza huko ni rahisi kumbaini)
3. Ili umteke kiintelijensia unapaswa kutengeneza wasaliti wa humohumo nchini mwake(jambo ambalo hata wao wanalijua kuwa kufanya hivyo ni kujisogeza karibu na kabuli kokote kule duniani utakako kuwa)

UNLIKE nchi fulani fulani za hapa east afrika ambapo mtu kutoka msumbiji/zimbabwe/congo/butundi anaweza kuingia tu na akaishi kisela and no body cares.
Sabato njema
 
😁😁 nirahisi mtu kotoka uganda anayecharaza kiswahili kuishi hapo geita kahama bukoba na kucheza draft na wana kuliko mmakonde kuishi rwanda kwanza kufanana nao hufanani nao utachunguzwa kirahisi mnoo
Umeeleweka vizuri!
 
unafahamu kuwa ufaransa aliona aibu kupeleka majeshi hapo na kumtumia Rwanda.

Halafu mda mwengine muwe mnajitafakari wale waliopo msumbiji walikuwa alshabab kama waliokuwa kibiti. Sema msumbiji kijografia na usalama sio mkubwa kama ilivyo nchi yetu. Ndio maana hakuna vikundi vinavyopigana na jeshi nchi hii
 
CHADEMA inafanya nini kwenye mapigano kuanzia DRC, Rwanda hadi Cabo Delgado? Au bado nina hangover ya kimpumu? Bila jibu, Sabato imekataliwa kuwa njema.
 
Chadema ni chama cha wastani barani Africa lakini kwa wiki mbili Tatu kimekuwa gumzo huko Merekani na Ulaya

Lakini kilichonishangaza ni namna Nchi kubwa ya Msumbiji inavyoitegemea nchi ndogo ya Rwanda kiulinzi

Baada ya magaidi kuuwa askari kadhaa wa Msumbiji mh Kagame ametuma Wanajeshi zaidi nchini humo kuimarisha Ulinzi

Sabato njema!
Duh..... si kwa makorokocho hayo, duh
 
😁😁 nirahisi mtu kotoka uganda anayecharaza kiswahili kuishi hapo geita kahama bukoba na kucheza draft na wana kuliko mmakonde kuishi rwanda kwanza kufanana nao hufanani nao utachunguzwa kirahisi mnoo
Ni rahisi sana mnyarwanda, mburundi, mkenya, mnaijeria, mbotswana, mmalawi, mganda, mmozambiq, mmisri, muethiopia, msomali, mtunisia, msouth Africa, mlibya, mkongo, nghana, msenegali, mkameruni, mzambia, n.k kuishi bongo tena wanajichanganya wanakua wabongo na wanaoa bongo wanaolewa bongo hadi wanalowea bongo ni ngumu kumgundua maana wengi tumechanganyikana vururuvururu,

Hakuna muonekano mmoja wa ID (single ID) ya mtanzania km walio wanyarwanda wao wana ID yao moja (single ID) ya Pua ndefu na Kimo kirefu cha miili yao na wengi ni wembamba, ukimuona tu kimuonekano unamjua tu huyu ni mnyarwanda hujiulizi maswali mengi
 
Chadema ni chama cha wastani barani Africa lakini kwa wiki mbili Tatu kimekuwa gumzo huko Merekani na Ulaya

Lakini kilichonishangaza ni namna Nchi kubwa ya Msumbiji inavyoitegemea nchi ndogo ya Rwanda kiulinzi

Baada ya magaidi kuuwa askari kadhaa wa Msumbiji mh Kagame ametuma Wanajeshi zaidi nchini humo kuimarisha Ulinzi

Sabato njema!
Nilidhani BASHIRU ALLY KUPIGA BOMU lingine kumbe Kamanda Mbowe kuhutubia Taifa
 
Chadema ni chama cha wastani barani Africa lakini kwa wiki mbili Tatu kimekuwa gumzo huko Merekani na Ulaya

Lakini kilichonishangaza ni namna Nchi kubwa ya Msumbiji inavyoitegemea nchi ndogo ya Rwanda kiulinzi

Baada ya magaidi kuuwa askari kadhaa wa Msumbiji mh Kagame ametuma Wanajeshi zaidi nchini humo kuimarisha Ulinzi

Sabato njema!
Itakuwa ulikuwa haujazaliwa wakati Israeli ilipozichakaza nchi za kiaarabu kwenye vita vya siku sita, hivyo ukubwa wa nchi si uimara wa jeshi.
 
Chadema ni chama cha wastani barani Africa lakini kwa wiki mbili Tatu kimekuwa gumzo huko Merekani na Ulaya

Lakini kilichonishangaza ni namna Nchi kubwa ya Msumbiji inavyoitegemea nchi ndogo ya Rwanda kiulinzi

Baada ya magaidi kuuwa askari kadhaa wa Msumbiji mh Kagame ametuma Wanajeshi zaidi nchini humo kuimarisha Ulinzi

Sabato njema!
Naunga mkono hoja, vyama vikubwa visidharau vyama vidogo, nchi kubwa tusidharau nchi ndogo na kuziita "hivi vinchi. Rwanda ndio inayoongoza nchi zote za Africa Mashariki kwenye Easy to do bussiness index
Kitendo cha kuita nchi majirani zako kuwa ni "vinchi" ni uungwana?!
P
 
Back
Top Bottom