Bramo
JF-Expert Member
- Oct 21, 2009
- 13,176
- 10,068
Huenda Kagame Askari aliowatuma Msumbiji ni WabongoAnajaribu kutuma Ujumbe kwa Congo kuwa yuko Imara...
Siasa zi vita Kagame anazijua vyema..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huenda Kagame Askari aliowatuma Msumbiji ni WabongoAnajaribu kutuma Ujumbe kwa Congo kuwa yuko Imara...
Siasa zi vita Kagame anazijua vyema..
Hahaha........ Wewe ndio unashindwa kuunganisha Vita ya Ugaidi!Umeshindwa kuiunganisha hoja.Inaning'inia.Kuanza upya siyo ujinga gitogito.
Wa Rau madukani?Huenda Kagame Askari aliowatuma Msumbiji ni Wabongo
Hahaha........unatafakari Ugaidi au Chadema?Mimi pia nilikuwa natafakari😆
Mbowe akihutubia USA anakuwa anawagawia magaidi silaha?Kavurugwa huyo mjukuu wa Mgaya.😂😂Anajaribu kutuma ujumbe kuwa Chadema ni magaidi wanawapa siraha magaidi wenzao wa msumbiji! Kwa asiyemjua huyu mjamaa atapata shida sana.
Hahaha........ Kagame anatishaMbowe akihutubia USA anakuwa anawagawia magaidi silaha?Kavurugwa huyo mjukuu wa Mgaya.😂😂
Mtu yeyote akizeeka anatisha kimtindo.😂😂😂😂Hahaha........ Kagame anatisha
Angeshusha Kikosi pale Rau madukani Hata ile kesi isingekuwepo!Mtu yeyote akizeeka anatisha kimtindo.😂😂😂😂
Yes ila watu watakujuwa ila hawatakuwa na time na wewe mpaka pale utakapo wazinguwaKinacho isaidia rwanda kiintekijensia
1. Nchi ndogo
2. Nchi ya wanaofanana kwa asilimia kubwa(akitokea mtu wa taifa jingine kujipenyeza huko ni rahisi kumbaini)
3. Ili umteke kiintelijensia unapaswa kutengeneza wasaliti wa humohumo nchini mwake(jambo ambalo hata wao wanalijua kuwa kufanya hivyo ni kujisogeza karibu na kabuli kokote kule duniani utakako kuwa)
UNLIKE nchi fulani fulani za hapa east afrika ambapo mtu kutoka msumbiji/zimbabwe/congo/butundi anaweza kuingia tu na akaishi kisela and no body cares.
Sabato njema
Hana lolote.Tungetumia PGO kumuamuru yule dada ampatie kimbo mbili-tatu za mbege hadi ashindwe na alegee tumteke.Mbelembele ya safari tungempa energy drink imtoe wenge.😂😂😂😂Angeshusha Kikosi pale Rau madukani Hata ile kesi isingekuwepo!
Naunga mkono hoja, vyama vikubwa visidharau vyama vidogo, nchi kubwa tusidharau nchi ndogo na kuziita "hivi vinchi. Rwanda ndio inayoongoza nchi zote za Africa Mashariki kwenye Easy to do bussiness index
Kitendo cha kuita nchi majirani zako kuwa ni "vinchi" ni uungwana?!
P
Kagame ni mtovu wa nidhamu,uzee unamyumbisha kwa kuuishi ujana,anadeka na kujiona hana wa kumkemea.Ana changamoto sana.Anadhani anaweza kuwaambia wanaume wenzie atawapiga halafu na wao waufyate.Anakwama sehemu na siku zake zinahesabika.Nchi ndogo muhimu kuheshimu nchi kubwa, zenye historia kubwa na zitakazo wasaidia wakiwa wakimbizi na kuanza kuuana.
Nchi ambazo zitasaidia kuleta Amani mambo yakivurugika na kuwaunganisha tena.
Hahaha.......Mwamba vs PKDuh..... si kwa makorokocho hayo, duh
Ni hatari kwa taifaYes ila watu watakujuwa ila hawatakuwa na time na wewe mpaka pale utakapo wazinguwa
Anajaribu kutuma ujumbe kuwa ni magaidi wanawapa siraha magaidi wenzao wa msumbiji! Kwa asiyemjua huyu mjamaa syapataCHADEMA inafanya nini kwenye mapigano kuanzia DRC,Rwanda hadi Cabo Delgado?Au bado nina hangover ya kimpumu?Bila jibu,Sabato imekataliwa kuwa njema.
Mimi kaniacha hoi nikaamua kumuacha apite na midabwada yake.Mbowe akihutubia USA anakuwa anawagawia magaidi silaha?Kavurugwa huyo mjukuu wa Mgaya.😂😂
Bongo ni kama U.S.A tu. Kimbilio la watu wa mataifa tofauti. Hata huko Rwanda kikinuka tutawapokea tena.Ni rahisi sana mnyarwanda, mburundi, mkenya, mnaijeria, mbotswana, mmalawi, mganda, mmozambiq, mmisri, muethiopia, msomali, mtunisia, msouth Africa, mlibya, mkongo, nghana, msenegali, mkameruni, mzambia, n.k kuishi bongo tena wanajichanganya wanakua wabongo na wanaoa bongo wanaolewa bongo hadi wanalowea bongo ni ngumu kumgundua maana wengi tumechanganyikana vururuvururu,
Hakuna muonekano mmoja wa ID (single ID) ya mtanzania km walio wanyarwanda wao wana ID yao moja (single ID) ya Pua ndefu na Kimo kirefu cha miili yao na wengi ni wembamba, ukimuona tu kimuonekano unamjua tu huyu ni mnyarwanda hujiulizi maswali mengi
Mhutu na mtutsi wapo sawa !.Hakina nchi iliyogawika kama Rwanda.Watutsi ni 15% ya idadi ya raia wote was Rwanda huku wahutu wakiwa 85% lakini uchumi wote na nafasi kubwa kubwa zikishikiliwa na Watutsi.Ni rahisi sana mnyarwanda, mburundi, mkenya, mnaijeria, mbotswana, mmalawi, mganda, mmozambiq, mmisri, muethiopia, msomali, mtunisia, msouth Africa, mlibya, mkongo, nghana, msenegali, mkameruni, mzambia, n.k kuishi bongo tena wanajichanganya wanakua wabongo na wanaoa bongo wanaolewa bongo hadi wanalowea bongo ni ngumu kumgundua maana wengi tumechanganyikana vururuvururu,
Hakuna muonekano mmoja wa ID (single ID) ya mtanzania km walio wanyarwanda wao wana ID yao moja (single ID) ya Pua ndefu na Kimo kirefu cha miili yao na wengi ni wembamba, ukimuona tu kimuonekano unamjua tu huyu ni mnyarwanda hujiulizi maswali mengi
Brother haujanielewa emu tulia Kwanza kabla haujaandika comments soma kwa umakini usikurupuke utaumbuka, fuatilia comments after comments usidandie bus kwa mbele utaumia,Unaposema hali ya usalama Rwanda ni bora kulikoTanzania nina kila sababu ya kukuona hujui Rwanda wala Tanzania.