Rwanda yasema iko tayari kulipiza kisasi dhidi ya DR Congo

DRC na Tz ni mashamba ya bibi, moja linavunwa kwa vita na lingine linavunwa kwa amani.
 
Rwanda atashinda Vita akiwa na support ya Mabeberu otherwise utakuwa ndiyo mwisho wa PK ikiwa kinyume chake.
 
Hapo ndo unaona kabisa rafkiako ndo adui yako yani USA atawauzia silaha wapgane badala atatue mzozo
Kwanini isiwe Urusi ambao biashara yao kubwa inayofahamika ni SILAHA
 
Ukitazama sura za Hawa maadande wa Rwanda. Unapata picha ya hali ya jeshi lao lote
 
Congo nao wajikaze kila siku wanasumbuliwa na majirani wadogo kama sisimizi.@Mayele fiston Mugalu @Yanick bangala Shaban Juma @inonga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…