Auz
JF-Expert Member
- Apr 6, 2016
- 13,539
- 11,419
Wa kwetu wanachojali ni asilimia 10 zao, hupati kibali cha uchimbaji mpaka waziri atengewe $1.5 M.
Sent from my moto g 5G (2022) using JamiiForums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wa kwetu wanachojali ni asilimia 10 zao, hupati kibali cha uchimbaji mpaka waziri atengewe $1.5 M.
Hivi, haiwezekani nchi ikawa wakala au dalali? Ulaya na Marekani wanayapata vipi madini ya Afrika katika masoko yao? Kwa nini isiwe kwa Rwanda?Nilimsikia anasema anatuhumiwa kuiba. Kiukweli yeye haibi ila wanaoiba huwa wanapitishia Rwanda kwenda kuuza ulaya. Walaumiwe hao wanaonunua.
Nikajiuliza.
Anaruhusuje wezi kupitishia vitu nchini kwake?
Nikajiuliza nchi za wazungu zinapolicy kali sana za kununua madini yenye sintofahamu zenye chanzo damu.
Kabla sijalaumu, au kutuhumu natamani kujuq Rwanda inaelezeaje chanzo cha madini hayo. Na wanunuzi kama ni masoko yale yanayotambulika na sio wachina wajanjawajanja wananunuaje hivyo vitu?
Hao wa ulimwengu nao wanafanya hivyo hivyo, wataanzia wapi?Kagamne wizi anaufanya DRC, nashangaa ulimwengu unamwangalia tu namna anavyoua watu kule kisa aibe!
[emoji3581][emoji3581][emoji3581][emoji3581]Soma na umalize nilichoandika.
Haindoi ukweli kuwa Kagame ana shida fulani na hateteiki kwa maneno ya mtandaoni
Ndege za Rwanda zinatua Heathrow Airport, walikuwa Gatwick tangu 2017 sasa wamepanda chartNi akili tu.
Tushakubaliana issue ni akili na si rasilimali
Hajasema nchini yake ni dalali. Amesema wanapitisha na halaumu au hasemi wanaopitisha ni halali au halamu anataka tulaumu wanaonunua hao wazungu ambao ni haohao wanamlaumu yeye.Hivi, haiwezekani nchi ikawa wakala au dalali? Ulaya na Marekani wanayapata vipi madini ya Afrika katika masoko yao? Kwa nini isiwe kwa Rwanda?
Sent from my moto g 5G (2022) using JamiiForums mobile app
Blood diomondNo prize for guessing where those gems come from.
duniani mali haramu zote hadi human traffiking makao makuu ni DUBAI huko hakuna sheria kali ila wapo wajinga humu ndo wanawashabikia hao waarabu , China pia anauza DubaiNilimsikia anasema anatuhumiwa kuiba. Kiukweli yeye haibi ila wanaoiba huwa wanapitishia Rwanda kwenda kuuza ulaya. Walaumiwe hao wanaonunua.
Nikajiuliza.
Anaruhusuje wezi kupitishia vitu nchini kwake?
Nikajiuliza nchi za wazungu zinapolicy kali sana za kununua madini yenye sintofahamu zenye chanzo damu.
Kabla sijalaumu, au kutuhumu natamani kujuq Rwanda inaelezeaje chanzo cha madini hayo. Na wanunuzi kama ni masoko yale yanayotambulika na sio wachina wajanjawajanja wananunuaje hivyo vitu?
DUBAI ndo soko la mali haramu kwasasa hao wazungu mtawalaumu kwasababu ya historia yao sio nzuriWazungu wanampenda kwa hilo tu
Mkuu hata wazungu wanatafuta maisha kwa kila njia hata ziwe za kuuwa
Silaha zinauzwa sana ili wapate hela lakini pia watu wafe, ila hawajali
Madini yanatoka kila sehemu na inawezekana zinakuwa na damu lakini zinasafishwa na kuzigonga kama zimetoka Tz kumbe DRC
Hata wao wazungu wamekazana kusema wanaangalia hali ya usalama Mashariki ya kati lakini ukweli unajulikana kwanini wapo huko MAFUTA!
Acha niende Rwanda labda ntabahatisha kupata hata kibali chap chap cha kununua
hahahaaaaaaUnafikiri M 23 wameenda kutalii Goma?
kwahiyo ccmu waibe tu kisa wacongo wamekufa , mwenue sifa mpe na sio kumbania , ccmu ni corrupt huyo kagame ni muuaji lkn wananchi wake wananeemeka huko chigali sio ccmu wanaua Tanesco ili wauze majenereta na sola zaokwann usihamie huko!!
unajua ni wakongo wa ngap wamekufa?? u son of bitch
Kama ni madini kwa soko la Ulaya ni ngumu kidogo lakini kama unalipia kodi sawaDUBAI ndo soko la mali haramu kwasasa hao wazungu mtawalaumu kwasababu ya historia yao sio nzuri
Wakati huo huyu kahaba anatamani usiku na mchana kuwakabidhi waarabu nyani za tanganyikaKagame anaipenda nchi inaifanya kama familia yupo radhi aibe watoto wale chakula. Viongozi wa Tanzania wanaipenda nchi kama shamba,wapo radhi wavune waende kuuza sokoni
Hiu lugha sio sahihi kabisa mkuu.Wakati huo huyu kahaba anatamani usiku na mchana kuwakabidhi waarabu nyani za tanganyika