Papi Chulo
JF-Expert Member
- Jun 8, 2018
- 6,260
- 7,395
Taarifa zitakapotakiwa kutoka zitatoka,hii si serikali ya kufuata mkumbo... hongereni kwa kupata msaada!Haikuwa misaada, ila hata orodha yenyewe haitapunguza pumba zenu. Mbona hamtoi taarifa zozote kutoka GoT, mpo gizani kabisa au ndio kunaendaje? Ndio hizi taarifa zenyewe na ramani kutoka kwa W.H.O. Update hii ilikuwa ya FEBRUARY 13.
Nadhani mjadala ulikua kwanini Tanzania hatujaanza/hatijanunua test kits za kupimia Corona, Mimi ninajaribu kujenga hoja kwamba, katika hawamu hii ya mwanzo ya nchi kutokuwa na watu ambao hawajaambukizwa Corona, kipimo muhimu kwa sasa ni hiki cha kupima joto la mwili, sio lazima kuwa na testing kits.Wanawekwa karantini kwa vigezo gani? Wakati hana homa? najaribu kukuonyesha ilivyo impractical kuzuia maambukizi kuingia (undetectable few hours baada ya maabukizi) kilichopratical ni kuzuia kuenea kwa virusi. Sasa how effective is a test kit compared to a thermo gun in the fight agaist the spread of the Corona virus, huu ndo mjadala.
I rest my case
Let me paint you a masterpiece,Nadhani mjadala ulikua kwanini Tanzania hatujaanza/hatijanunua test kits za kupimia Corona, Mimi ninajaribu kujenga hoja kwamba, katika hawamu hii ya mwanzo ya nchi kutokuwa na watu ambao hawajaambukizwa Corona, kipimo muhimu kwa sasa ni hiki cha kupima joto la mwili, sio lazima kuwa na testing kits.
Kuhusu kumuweka mtu chini ya karantini kama hana joto la juu, logic ipo hivi: Mtu yeyote anayetoka eneo au nchi iliyoathirika zaidi na ugonjwa anaitwa "High Risk person", kwahiyo hata kama joto au damu hainyeshi, bado kuna uwezekano kwamba masaa hayajatimia kwa hizo dalili kujitokeza, kwahiyo wanatengwa ili kujiridhisha kama kweli hawana, hili zoezi hufanywa kwa "High risk people only".
Sent using Jamii Forums mobile app
Unamaanisha kwamba taarifa mtapewa baada ya maafa kutokea? Bure kabisa. Msaada wa kits na lab watakaopewa ni nyinyi msiojielewa hata kwenye janga kama hili la kimataifa.Taarifa zitakapotakiwa kutoka zitatoka,hii si serikali ya kufuata mkumbo... hongereni kwa kupata msaada!
Wewe jamaa huwa unakimbia maswali, any way just to satisfy your ego. “ Coronavirus case has been confirmed in Tanzania “ . I guess it’s time for you to celebrate..Unamaanisha kwamba taarifa mtapewa baada ya maafa kutokea? Bure kabisa. Msaada wa kits na lab watakaopewa ni nyinyi msiojielewa hata kwenye janga kama hili la kimataifa.
Hukumbuki rais M7 wa Uganda alichofanya?, yeye alitaja nchi zote zenye cases zaidi ya 200 na kuendelea akesema hizo ni "high risk countries". abiria yeyote aliyepitia au kutoka nchi hizo akiingia Uganda lazima ajiweke chini ya karantini kwa gharama zake nyumbani au hotelini, kama wazungu walikataa hilo sharti, walikataliwa kuingia UgandaLet me paint you a masterpiece,
Chukulia mfano wa qatar 300+ cases alafu flights kutoka Doha- Dar ipo kila siku.. tuchukulie tu karantiniabiria10 ila tukifata model yako ni abiria wote
Day 1 uta-quarantine abiria 10 kwa siku 14.
Day 2 uta-quarantine abiria 10 kwa siku 14
.......
Day 14 wengine 10. total ni watu 140
Sasa hawa 140 ili wasiambukizane utawaweka wapi?
I don't bother answering idiotic questions. I got better things to do man.Wewe jamaa huwa unakimbia maswali, any way just to satisfy your ego. “ Coronavirus case has been confirmed in Tanzania “ . I guess it’s time for you to celebrate..
Sasa msaada si mshapewa mnawashwa na nini!???..Unamaanisha kwamba taarifa mtapewa baada ya maafa kutokea? Bure kabisa. Msaada wa kits na lab watakaopewa ni nyinyi msiojielewa hata kwenye janga kama hili la kimataifa.
wewe unaona mtu kujiweka karantini nyumbani kwake ni effective?! How do you enforce that? Unawawekea walinzi? Je familia zao? Naona unazunguka tu mbuyu. Tuyaache kama yalivyoHukumbuki rais M7 wa Uganda alichofanya?, yeye alitaja nchi zote zenye cases zaidi ya 200 na kuendelea akesema hizo ni "high risk countries". abiria yeyote aliyepitia au kutoka nchi hizo akiingia Uganda lazima ajiweke chini ya karantini kwa gharama zake nyumbani au hotelini, kama wazungu walikataa hilo sharti, walikataliwa kuingia Uganda
Sent using Jamii Forums mobile app
Kaka hakuna njia moja ambayo ni jibu sahihi la kupambana na ugonjwa wowote ule, kinachofanyika ni kujaribu kutumia kila mbinu kupunguza uwezekani wa kusambaa bila kuathiri uchumi wa nchi kwa kiwango kikubwa.wewe unaona mtu kujiweka karantini nyumbani kwake ni effective?! How do you enforce that? Unawawekea walinzi? Je familia zao? Naona unazunguka tu mbuyu. Tuyaache kama yalivyo
Usiniwekee maneno kinywani, sikusema kuna njia moja ndo mwarubaini.Kaka hakuna njia moja ambayo ni jibu sahihi la kupambana na ugonjwa wowote ule, kinachofanyika ni kujaribu kutumia kila mbinu kupunguza uwezekani wa kusambaa bila kuathiri uchumi wa nchi kwa kiwango kikubwa.
Kwa mfano, mtu akigongwa na nyoka, the best way ni kumfuka kwa mpira ili sumu isienee mwili mzima, ila kwa kufanya hivyo unazuia damu isizunguke katika hicho kiunga hivyo kusababisha madhara makubwa yatakayosababishwa kukatwa kwa hicho kiungo. Kwahiyo utalazimika kutafuta "balance". Kwahiyo hiyo "self quarantine" sio the most effective, ila ni katika kutafuta "balance"
Sent using Jamii Forums mobile app