Papi Chulo
JF-Expert Member
- Jun 8, 2018
- 6,260
- 7,395
Haikuwa misaada, ila hata orodha yenyewe haitapunguza pumba zenu. Mbona hamtoi taarifa zozote kutoka GoT, mpo gizani kabisa au ndio kunaendaje? Ndio hizi taarifa zenyewe na ramani kutoka kwa W.H.O. Update hii ilikuwa ya FEBRUARY 13.
Taarifa zitakapotakiwa kutoka zitatoka,hii si serikali ya kufuata mkumbo... hongereni kwa kupata msaada!