Rwanda yazungumzia uvumi kuhusu afya ya Rais Kagame

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
63,685
Reaction score
128,178
Ni Habari za Uongo' - Rwanda yazungumzia uvumi kuhusu afya ya Rais Kagame.

Chanzo Taarifa: BBC Swahili

Punguzeni kama siyo acheni CHUKI, WIVU na ROHO MBAYA kwa akina GENTAMYCINE ANTIBIOUTIQUE ambao tayari Mwenyezi Mungu kwa KUDRA zake na MAPENZI yake ameshatubariki vingi tu. Nilisema hapa hapa kuwa nimehakikishiwa na Watu (Waandamizi wa Rwanda) ambao nilisema nimewahifadhi kwa sababu Maalum mkaanza sijui najiona najua Mambo mara natafuta Sifa JamiiForums mara sijui najifanya ni Mwana Usalama wa Taifa utadhani Kazi pekee ambayo ni muhimu kwa Mtu kufanya duniani ili kujipatia Kipato ni hiyo tu.

Halafu HATERS wangu hapa JamiiForums labda niwaambieni tu kuwa kwa Kadri mnavyozidi Kunichukia na kuniongelea kila neno / kauli ndiyo hivyo hivyo Mwenyezi Mungu aliye Juu ANAVYONIBARIKI na kiukweli nawaombeni MSIACHE KUNICHUKIA KUTWA kwani MKIANZA KUNIPENDA nami Mambo huku YATAHARIBIKA hivyo chonde chonde nawaombeni endeleeni KUNICHUKIA na ikiwezekana hata kuanzia leo ongezekeni na muungane ili MNICHUKIE ila jueni tu kuwa Mimi ni ''Purely Talented, Charismatic Fella, Game Changer and Entertainer" Kudadadeki.

Nendeni kwa Mkapa Kesho Mechi ipo na Simba SC ilikuwa inafanya tu Mind Games sawa? Viongozi wa Simba SC wameshatoka kuchukua TFF muda si mrefu Tiketi zao za VIP na VVIP kwa ajili ya Kesho. Nasema tena kama GENTAMYCINE kuwa Kesho Derby ipo kama kawaida ila Yanga SC atafungwa Goli 1 kwa 0 na Simba SC anaenda kuwa Bingwa mpya wa NBC Premier League kwa Msimu wa 2024 / 2025.

Nimemaliza.
 
Hawajui kuwa wewe ni Moja ya instructor hapo Mossad 😅😅
 
Kama kutokuhudhuria press conference ni mind game basi viongozi wa Simba ni wapumbavu sana. Hio sio mind games bali umbumbu!! Na kesho watapigwa si chini ya goli 2. Kweli hawa ni makolo 😀 😀 😀 😀
 
Ni Habari za Uongo' - Rwanda yazungumzia uvumi kuhusu afya ya Rais Kagame.

Chanzo Taarifa: BBC Swahili

Punguzeni kama siyo acheni CHUKI, WIVU na ROHO MBAYA kwa akina GENTAMYCINE ANTIBIOUTIQUE ambao tayari Mwenyezi Mungu kwa KUDRA zake na MAPENZI yake ameshatubariki vingi tu. Nilisema hapa hapa kuwa nimehakikishiwa na Watu (Waandamizi wa Rwanda) ambao nilisema nimewahifadhi kwa sababu Maalum mkaanza sijui najiona najua Mambo mara natafuta Sifa JamiiForums mara sijui najifanya ni Mwana Usalama wa Taifa utadhani Kazi pekee ambayo ni muhimu kwa Mtu kufanya duniani ili kujipatia Kipato ni hiyo tu.

Halafu HATERS wangu hapa JamiiForums labda niwaambieni tu kuwa kwa Kadri mnavyozidi Kunichukia na kuniongelea kila neno / kauli ndiyo hivyo hivyo Mwenyezi Mungu aliye Juu ANAVYONIBARIKI na kiukweli nawaombeni MSIACHE KUNICHUKIA KUTWA kwani MKIANZA KUNIPENDA nami Mambo huku YATAHARIBIKA hivyo chonde chonde nawaombeni endeleeni KUNICHUKIA na ikiwezekana hata kuanzia leo ongezekeni na muungane ili MNICHUKIE ila jueni tu kuwa Mimi ni ''Purely Talented, Charismatic Fella, Game Changer and Entertainer" Kudadadeki.

Nendeni kwa Mkapa Kesho Mechi ipo na Simba SC ilikuwa inafanya tu Mind Games sawa? Viongozi wa Simba SC wameshatoka kuchukua TFF muda si mrefu Tiketi zao za VIP na VVIP kwa ajili ya Kesho. Nasema tena kama GENTAMYCINE kuwa Kesho Derby ipo kama kawaida ila Yanga SC atafungwa Goli 1 kwa 0 na Simba SC anaenda kuwa Bingwa mpya wa NBC Premier League kwa Msimu wa 2024 / 2025.

Nimemaliza.

Kuna shida gani? Uzima au ugonjwa, uhai au kifo vyote ni vya wanadamu.
PK ni binadamu kama wengine
 
Back
Top Bottom