Rwanda yazungumzia uvumi kuhusu afya ya Rais Kagame

Mugaka umenipotezea bando na muda wangu; kichwa cha habari na content vipo tofauti kabisa, sasa sijaelewa Kagame anaumwa, kafa au mzima buheri wa afya; hujagusia kabisa kwenye uzi wako. Kwa ufupi, umenichanganya, sijaelewa hasa ulitaka kuipa promo derby, au ulitaka kuongeza wigo wa maadui zako humu? Sijaelewa kabisa
 
Mengine naweza kukubali ila hili la yanga kufungwa kalisemee choonni kenge wewe. Na Simba akishinda nitakuwa mlinzi wa geti lako kwa mwaka mzima.
 
Kuna shida gani? Uzima au ugonjwa, uhai au kifo vyote ni vya wanadamu.
PK ni binadamu kama wengine
Ndio kitu cha kushangaza hicho, maana PK nae ni binadamu sio super human.Kama ni mgonjwa basi tunamuombea mungu amfanyie wepesi apone.
 
Jana usiku kupitia Rwanda Tv nlimwona akimpokea Rais mstaafu wa Nigeria. Sijajua kama picha labda zimetengenezwa kuaminisha umma yupo kazini.
 
Uliandika uzi ili usomwe, ukiandika madudu ni wengi watayaona na kushangaa. Unasifika kwa matusi. Kabla ya kuandika fikiria kwa makini, JF ina watu wa kila tabaka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…