Mateso chakubanga
JF-Expert Member
- May 10, 2021
- 649
- 903
NI KWELI KABISA 100%, Moja ya shirika la ndege la hovyo sana duniani, nimesafiri nao mara moja na sitarudia tena katika maisha yangu. Transit walituweka Kigali kwa siku 3, yalioelezwa yote hapo ni ukweli mtupu. Rwandair is overrated hamna kitu pale, nadhani hata hako ka nchi ni PR tu lakini ukweli ni ka hovyo sana kutokana na picha niliopata kwa siku tatu pale Kigali nikiwa transit kwenda Dar.Wadau habari nimekutana na malalamiko yakihusu shirika la ndege la Rwanda kwamba ni wababaishaji sana katika safari zao
Usalama wa mizigo ni mdogo pia ratiba zao hazieleweki
Aidha huduma kwa ujumla ni mbovu abiria wanasumbuliwa mara kwa mara kupekuliwa kama wahalifu kubadilishiwa siti za kukaa bila maelezo yoyote, hivyo ni shirika lisilofaa kusafiri nalo
View attachment 3313027
Rudi kwenuUtakuwa unamatatizo makubwa sana wewe kijana. yaani hujatumia hilo shirika lakini umewashwawashwa sana mpka unakimbia kufungua uzi. Kuna msemo unasema "never judge from what you hear" uzingatie sana
The Mongolian Savage yeye anamuwaza adriz tu muda wote 🤣
Ni kweli wanashida hiyo sometimes lakini kuna vitu positive kiasi kama kuwekwa kwenye 3 or 5 star hotel kwa walio in transitNI KWELI KABISA 100%, Moja ya shirika la ndege la hovyo sana duniani, nimesafiri nao mara moja na sitarudia tena katika maisha yangu. Transit walituweka Kigali kwa siku 3, yalioelezwa yote hapo ni ukweli mtupu. Rwandair is overrated hamna kitu pale, nadhani hata hako ka nchi ni PR tu lakini ukweli ni ka hovyo sana kutokana na picha niliopata kwa siku tatu pale Kigali nikiwa transit kwenda Dar.
Mkuu kukaa kwenye 3 or 5 star hotel sio dhumuni la wasafiri , watu wanataka kuwahi issues zao kutokana na walivyojipangia sasa uniweke kwenye hotel ya nyota 3 au 5 itanisaidia nini wakati nakua nimenipotezewa muda wangu na umevuruga ratiba zangu. Rwandair is real shiit, I will never fly with them again.Ni kweli wanashida hiyo sometimes lakini kuna vitu positive kiasi kama kuwekwa kwenye 3 or 5 star hotel kwa walio in transit
Kuwekwa kwenye Hotels ukiwa transit inayozidi saa 9 ni haki yako mteja sio favour unayofanyiwa na Airline.Ni kweli wanashida hiyo sometimes lakini kuna vitu positive kiasi kama kuwekwa kwenye 3 or 5 star hotel kwa walio in transit
Lakini si lazima iwe 5star rightKuwekwa kwenye Hotels ukiwa transit inayozidi saa 9 ni haki yako mteja sio favour unayofanyiwa na Airline.
Sio lazima iwe 5 star Hotel lakini pia sio hoteli za vichochoroni.Airlines wanakua na mikataba na Hotels ambazo crew wao wanakaa wakipumzika kungojea flights.Lakini si lazima iwe 5star right