Rwandan player says Kenya is above Tz

Okay tumekubali ninyi niwazuli kwenye mpira. Sisi sio wabishi kama nyie. Kwenye swala la sport mko vizuri. Lakini mengi tunawazidi. Kuhusu sports tunalifanyia kazi kama nchi.
for example? the only thing that tz leads Kenya is music industry and wildlife & tourism...in relation to the latter, terrorism has played a big part...everything else, Kenya leads...ndio maana huwa wanasema East Africa's largest economy...hawa bahatishi
 
wacha waje wale LDC...lazma wataacha kufananisha Kenya na upuuzi kila uchao..
So this is how a Rwandan leads kenyans' mind!

A person who says something is impossible should not interrupt the person who is doing it.
 
Mabingwa wa kihistoria wa dunia Brazil wameshacheza hapo match na taifa stars!

Acha kuota ndoto za pono mapema hivi

A person who says something is impossible should not interrupt the person who is doing it.
 
Kenyan buana..utadhani wameathirika kisaikolojia..kila kitu wao kujiproud tuuuu ata vitu visivyolipa. Unajua nyumbani kwako wanakula nini leo? Au kiki tuu kwenye forum.

Sent from my TECNO L9 Plus using JamiiForums mobile app
 
the Rwandan was just saying the truth...he spoke his mind...
Just his mind, not the truth

A person who says something is impossible should not interrupt the person who is doing it.
 
HAHAHAHA lini mara ya mwisho timu ya Kenya kufika nusu fainali za ligi ya mabingwa Afrika?? Hata robo fainali hazigusi.
We literally won 2 african cups bitch!!
Gor Mahia Won against Setif ya Tunisia African Cup in 1979

Kenya Breweries in 1995 hapo ....ndio hyo Gor imerudi

Mumewaishinda kitu???

Soka inawalemea sasa mkija Kenya mahali kuna 100+ sports zenye tunapaa mtafanya nn?

Mnajua tu kuongelea mpira

Sent from my SM-J105F using JamiiForums mobile app
 
Gor ndio club bora Africa! !happy now...mazamirinda

Sent from my SM-J200H using JamiiForums mobile app
 
Gor ndio club bora Africa! !happy now...mazamirinda

Sent from my SM-J200H using JamiiForums mobile app
I knew that in 1994

Nyie ndio mnatokwa na Povu hapa

Mrwanda anaongea Ukweli toka kwa roho yake mnaanza kukatch hehehe
 
Mkijibiwa ukweli mnaanza "wakenya wana Roho mbaya" well get inline Bitchez

We own East Africa

Sent from my SM-J105F using JamiiForums mobile app
 
I knew that in 1994

Nyie ndio mnayokwa na Povu hapa

Mrwanda anaongea Ukweli toka kwa roho yake mnaanza kukatch hehehe
Sawa maana mmeshikilia genge apa Kama nyie watamu nn kimefanya msishinde Jana

Sent from my SM-J200H using JamiiForums mobile app
 
Aisee safi sana mnyarwanda, waswahili ni binadam ovyoo yaan scum of th earth.
 
Lol Timu ya Taifa ya Kenya ni nambari 76 Duniani

Ya Tanzania ni 134
.hata mungeweka nani....kichapo kingekuwa lile lile fam
Fanya uambatanishe reliable source ya hii kitu basi, because maandishi yako pekee, sane guys like me can not believe u know.
 
Sawa maana mmeshikilia genge apa Kama nyie watamu nn kimefanya msishinde Jana

Sent from my SM-J200H using JamiiForums mobile app
I dont know ....si kuna a confused tanzanian who interrupted the match by hugging rooney? Alituweka off balance besides Gor mahia beat Nottingham in the 60s while it was still in the EPL....

Sent from my SM-J105F using JamiiForums mobile app
 
I dont know ....si kuna a confused tanzanian who interrupted the match by hugging rooney? Alituweka off balance besides Gor mahia beat Nottingham in the 60s while it was still in the EPL....

Sent from my SM-J105F using JamiiForums mobile app
You cannot deposite excuse pal

Sent from my SM-J200H using JamiiForums mobile app
 
Hakuna e kwa deposit buda boss

Sent from my SM-J105F using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…