theHAVARD_product
JF-Expert Member
- May 4, 2012
- 289
- 192
HAHAHAHA lini mara ya mwisho timu ya Kenya kufika nusu fainali za ligi ya mabingwa Afrika?? Hata robo fainali hazigusi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
for example? the only thing that tz leads Kenya is music industry and wildlife & tourism...in relation to the latter, terrorism has played a big part...everything else, Kenya leads...ndio maana huwa wanasema East Africa's largest economy...hawa bahatishiOkay tumekubali ninyi niwazuli kwenye mpira. Sisi sio wabishi kama nyie. Kwenye swala la sport mko vizuri. Lakini mengi tunawazidi. Kuhusu sports tunalifanyia kazi kama nchi.
So this is how a Rwandan leads kenyans' mind!wacha waje wale LDC...lazma wataacha kufananisha Kenya na upuuzi kila uchao..
the Rwandan was just saying the truth...he spoke his mind...So this is how a Rwandan leads kenyans' mind!
A person who says something is impossible should not interrupt the person who is doing it.
Mabingwa wa kihistoria wa dunia Brazil wameshacheza hapo match na taifa stars!He only stated the obvious and that's why Tanzania stadium ended up hosting a final match between AFC and Gor which led to the ultimate duel of Everton vs Gor, all this time Tanzanians were only watching from a distant because this wasn't within their reach.
unaongea kuhusu kufika nusu fainali wakati Kenya tushalibebaHAHAHAHA lini mara ya mwisho timu ya Kenya kufika nusu fainali za ligi ya mabingwa Afrika?? Hata robo fainali hazigusi.
Just his mind, not the truththe Rwandan was just saying the truth...he spoke his mind...
We literally won 2 african cups bitch!!HAHAHAHA lini mara ya mwisho timu ya Kenya kufika nusu fainali za ligi ya mabingwa Afrika?? Hata robo fainali hazigusi.
Kenya's Locally Based Players Beat Brazil Select Side - Goal.comMabingwa wa kihistoria wa dunia Brazil wameshacheza hapo match na taifa stars!
Acha kuota ndoto za pono mapema hivi
A person who says something is impossible should not interrupt the person who is doing it.
Gor ndio club bora Africa! !happy now...mazamirindaWe literally won 2 african cups bitch!!
Gor Mahia Won against Setif ya Tunisia African Cup in 1979
Kenya Breweries in 1995 hapo ....ndio hyo Gor imerudi
Mumewaishinda kitu???
Soka inawalemea sasa mkija Kenya mahali kuna 100+ sports zenye tunapaa mtafanya nn?
Mnajua tu kuongelea mpira
Sent from my SM-J105F using JamiiForums mobile app
I knew that in 1994Gor ndio club bora Africa! !happy now...mazamirinda
Sent from my SM-J200H using JamiiForums mobile app
Sawa maana mmeshikilia genge apa Kama nyie watamu nn kimefanya msishinde JanaI knew that in 1994
Nyie ndio mnayokwa na Povu hapa
Mrwanda anaongea Ukweli toka kwa roho yake mnaanza kukatch hehehe
Fanya uambatanishe reliable source ya hii kitu basi, because maandishi yako pekee, sane guys like me can not believe u know.Lol Timu ya Taifa ya Kenya ni nambari 76 Duniani
Ya Tanzania ni 134
.hata mungeweka nani....kichapo kingekuwa lile lile fam
I dont know ....si kuna a confused tanzanian who interrupted the match by hugging rooney? Alituweka off balance besides Gor mahia beat Nottingham in the 60s while it was still in the EPL....Sawa maana mmeshikilia genge apa Kama nyie watamu nn kimefanya msishinde Jana
Sent from my SM-J200H using JamiiForums mobile app
You cannot deposite excuse palI dont know ....si kuna a confused tanzanian who interrupted the match by hugging rooney? Alituweka off balance besides Gor mahia beat Nottingham in the 60s while it was still in the EPL....
Sent from my SM-J105F using JamiiForums mobile app