Rwanda's GDP equals Nakuru County GDP

Rwanda's GDP equals Nakuru County GDP

Dewji ambaye ni mwarabu ana networth ya $3 B ndani ya uchumi yenu ya $60 B. Hivi hamna aibu mtu mmoja akimiliki 5% ya uchumi wenu. Sasa mbona unajipiga kifua kwa sababu ya mwarabu anayemiliki uchumi wenu kiasi kikubwa hivyo?
Huyo sio Dewj, ni Said Salim Bakhresa, watu wawil tofaut hao

Alafu Dewj kazaliwa hapa hapa , Mali yote imepatikana hapa hapa

Hata marekan inajisifia Jeff Benzo , lakn hana asili ya marekan , yeye ndio first generation ya uzao wao

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa hivyo mna mabilionea wawili waarabu dah! Maajabu haya.
 
Wakenya huficha Mali zao nakumbuka ile kesi ya Uhuru ya ICC aliambia mahakama kwamba ana shamba hekari mbili tu na gari moja Hana Mali yeyote ,kitu ambacho sio ukweli hata kidogo.
Even Forbes lists his net worth at $500m, meaning the other figures you listed above are absolutely right. Uhuru Kenyatta is rich, but he can't reach the levels of the late Daniel Moi and Nicholas Biwott, Naushad Merali, Manu Chandaria and the likes

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom