Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Duh! CCM ZAIDI WAMEISHIWA NA MIKAKATI MPAKA WAMEFIKIA HIZI SIASA ZA AINA HII! AAH..............DUH....................HII INATISHIA AMANI NA USALAMA WA KURA ZETU HAPO OCT 31ST 2010, KURA ZETU KWA DR SLAA ZITASALIMIKA KWELI NAONA MAFISI WA CCM MATE YANAWADONDOKA WANAFATILIA MKONO WA BINADAMU ALIE HAI KWANI WANADHANI UTADONDOKA WAUTAFUNE!
SINA AMANI JAMANI KWA STAILI HII, CHADEMA ORGANIZATION YA NCHI NZIMA NA VITUO VYOTE KULINDA KURA JAMANI IKOJE? HILO NDO SWALA LA MSINGI
Huyu jamaa inaonekana massive anayo sanaaa, yaani akiongea tu wananchi wote wanamuwakia vifijo, anaonekana ana connection na constituency yake. Ningependa kujua zaidi kuhusu huyu mgombea na nafasi realistic alizonazo. Anaongea kama mbunge anaye face allegations katika "House of Commons", wekeni video yote tumuone zaidi.
Anakwambia "Itifaki Imezingatiwa" kanifurahisha sana na usemi huu tata !
Watu tuna interest kuwajua wagombea wa upinzani wenye mvuto zaidi, sio kina Regia Mtema tu.
Ndugu nadhani you miss this lady a lot
Tumeshachoka story zako za Regia. Peleka tofauti zako kwa wazazi wake kama wamtaka.Huyu jamaa inaonekana massive anayo sanaaa, yaani akiongea tu wananchi wote wanamuwakia vifijo, anaonekana ana connection na constituency yake. Ningependa kujua zaidi kuhusu huyu mgombea na nafasi realistic alizonazo. Anaongea kama mbunge anaye face allegations katika "House of Commons", wekeni video yote tumuone zaidi.
Anakwambia "Itifaki Imezingatiwa" kanifurahisha sana na usemi huu tata !
Watu tuna interest kuwajua wagombea wa upinzani wenye mvuto zaidi, sio kina Regia Mtema tu.
Tumeshachoka story zako za Regia. Peleka tofauti zako kwa wazazi wake kama wamtaka.